Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za mida hii wanajukwaa.. Kwanza kabisa naombeni radhi kwa yeyote ambae atakwazika kwa namna yeyote na uzi huu, kwani itakua ni mapungufu ya kibinaadam, pia naomba support yote kwenu...
2 Reactions
87 Replies
12K Views
Kwanza nitoe pole kwa watanzania wenzetu waliopoteza ndugu zao katika ajali ya MV Nyerere Na niwaombee majeruhi wote wapone haraka waweze kuendelea na uzalishaji Mali Sasa kama mada inavyosema...
8 Reactions
103 Replies
14K Views
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama...
11 Reactions
123 Replies
16K Views
Mengi yamezungumwa ila ukweli ndio huu, kwamba serikali yenye wajibu wa kuleta unafuu wa maisha kwa kutoa huduma bora ndiyo inapaswa kubeba huu mzigo. Mwananchi yuko mji wa 3 kutoka mji anaoishi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye...
25 Reactions
134 Replies
14K Views
Hivi maisha yana maana gani? Au kuna faida gani katika kuishi? Ukijaribu kufikiri kiupana nini maana ya maisha nashindwa kupata majibu sahihi Mwanadamu tangu kuzaliwa kwake anakutana na...
4 Reactions
20 Replies
15K Views
Poleni kwa msiba wakuu. Huwa kuna vile viboya vidogo chini ya vitI vya ndege au dogo zaidi ya hilo. Ni hilo tu wakuu.
0 Reactions
8 Replies
978 Views
Kwanza natoa pole kwa familia na sisi watanzania wote tulioguswa na ajali ya MV Nyerere huko ziwa victoria! Ila kwa leo dukuduku langu ni kwa hawa Tigo, japo nasikia voda nao wanakata kama hawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kujua km zinauzika, na thaman yake ipoje na inauzwa wapi....
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hv jamani kwa wale wahenga ni kweli nyerere hakuwahi.kupata majanga ya kupinduka kwa meli,vivuko kama marais wengine wote??yani kwamba nyerere pekee pamoja na kuongoza mda mlefu lakini hakupata...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar wana jamvi? Kwa mara ya kwanza leo nmefika Nyehunge kukata tiketi ya kwenda UKEREWE masaa matatu kbla ya safari naambiwa MERI IMEJAA!. ""MERI IMEJAA TAYARI TUNAOMBA MJE KESHO MCHANA!""...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
UKISTAAJABU YA MBOWE UTAYAONA YA ZITO; Binafsi nianze kwa kutoa pole nyingi kwa Rais wa nchi yetu Dr.John Pombe Magufuli kwa niaba ya watanzania wote kutokana na msiba mzito uliolikumba taifa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Kwenye ndege yetu naamini kuna vifaa vya kujiokolea. Askari wa miamvuli huwa wanatumia sana kuruka kutoka kwenye ndege pindi ipatapo tatizo. Naomba kuelekezwa Miamvuli...
2 Reactions
75 Replies
10K Views
Kuna mwananchi amevamiwa na vibaka ameporwa mkoba wake ndani yake mna laini zake za simu na vitambulisho vyake amenda kurudisha imeshindikana kwa kuwa hana kitambulisho. Sheria ya TCRA ili...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello JF Naomba leo tujadiliane hili... Kwanza poleni waTanzania kwa msiba huu mzito swala la kuacha kuwaokoa watu kisa 'giza' limewaumiza wengi…. ila tusilaumu sana,ndio uwezo wao...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Pamoja na masikitiko ya kupoteza wapendwa wetu ilikuwa jambo la busara kuhakikisha kuwa wahusika wa moja kwa moja wa kuhusiana na ajali hii ya MV Nyerere ndiyo pekee wanawajibishwa. Kumwajibisha...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Wadau follow the link Matokeo ya usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 21 & 22 Sept, 2018 Naona wengi tumepata experience ya interview YA interview yaani watu 600 wanaitwa 10.
2 Reactions
1 Replies
2K Views
MBOWE NA CHADEMA ACHENI UBAGUZI, AMEKUFA NDESAMBURO MMOJA TU CHAMA KIZIMA MLIHAMIA MOSHI NA NYIMBO NA MAPAMBIO MKATUNGA. LEO WAMEKUFA MAMIA YA WANANCHI UKEREWE TENA KTK JIMBO MNALOLIONGOZA...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jaman mwenye bampa la mbele la cresta gx100. Niko Mwanza tuwasiliane hapa 0752054095
0 Reactions
2 Replies
826 Views
J'pili njema JF Direct to the point Kama dini yako haikusaidii 1: Kuwa mtakatifu 2: Kuwa mwenye upendo kwa watu wote 3: Kuwa mvumilivu na mwenye subira 4: Kuwa mwenye heshima na maadili...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom