Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika maisha ya kutafuta pesa kuna vitu vingi Sana hasaa tamaaa.. Vijana wengi wanabet siku hizi na wengne wanacheza michezo Kama Biko lakini Asilimia kubwa huishiaa kuliwaa na wengne hata...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikiwa nisiku ya 4 ya maomborezo ya kivuko cha Mv nyerere leo jilaniyangu anaunusa mlango wa jera baada ya kumwazibu kijana wake wa kwanza kwakosa la kukataa kwenda.shule.na utukutu alio nao paka...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapo vip!! Jana nilifanya muamala fulani wa kutoa pesa zangu kupitia PESAFASTA katika Bank ya NMB lakini baada Ya pesa kutoka kwenye account yangu Ya bank then nikapata sms Ya confirmation yenye...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Hawa wavuvi walio fanya kwa moyo mmoja na kujitoa kuokoa uhai wa wananchi 40 katika ajali ya MV.NYERERE sasahivi wangekua wanaenda kupata ajira kwenye majeshi ya wanamaji au uokozi na wangepitia...
0 Reactions
10 Replies
882 Views
Nilikuwa Dukani Asubuhi hii kuna mama alikuwa anatoka kanisani huku akiimba Gosper Mara tukasikia mtu anaongea kwenye Radio ya muuzaji kuwa "Tuna Raisi mzuri sana". Yule mama baada ya kusikia tu...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati tukiendelea kuomboleza vifo vya Watanzania wenzetu waliotutoka, ni muda pia wetu sisi wananchi wa Kanda ya Ziwa, ku-revise way back kuangalia namna ambavyo tumekuwa tukisafiri katika Ziwa...
3 Reactions
92 Replies
14K Views
Habari wakuu. Kuna hii taasisi ya wakaguzi wa ndani, je ina majukumu gani tofauti na bodi ya wahasibu Tanzania. Je hii taaisis ya wakaguzi wa ndani iko kisheria? Naomba kufahamishwa.
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Ukiona umeamua kuludisha mpira kwa kipa ukiwa ndani ya dsm basi ujue huko Uendako unabidi ukaze buti na kamba . Maana dsm ndo jiji pekee Tz ambalo mtu mwenye kipato kikubwa na kidogo wote...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
MAREKEBISHO YA TAARIFA KWENYE MAOMBI YA MIKOPO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na umma kwa ujumla kwamba...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mbunge wa Ukerewe (Chadema), Joseph Mkundi ameiomba Serikali kutafuta namna wakazi wa Kisiwa cha Ukara watakavyoendelea kupata huduma ya usafiri wa kuwaunganisha na wenzao wa Kisiwa Kikuu cha...
1 Reactions
43 Replies
14K Views
Wakuu nilikuwa naomba msaada wa kina kuhusu watu wanaosafirisha mizigo kutoka India
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MTOTO WA NDUGU YANGU WAPENDWA MWENYE KUMWONA ATOE TAARIFA AS ATTACHED MBARIKIWE Dar es Salaam jana kupitia vyombo mbalimbali vya habari iliripotiwa juu ya taarifa za kupotea kwa mtoto mwenye umri...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Hii inathibitisha wote wanaojiita manabii na mitune ni wachumia tumbo tu. Hata Prophet Bushiri aliyekuwepo ncini hakuweza kutabiri. Wote walikuwa gizani. Nadhani wengi mtakubaliana na mimi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mafuriko nchini Tunisia Adi sasa watu watatu wamefariki kutokana na mafuriko yaliyotokea kwenye nchi hiyo na hapa ni mashiriki mwa nchi hiyo Britannica
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unakuta dala dala imejaa mpaka hakuna pa kuweka pua lakini mtu hasubiri gari nyingine ili aweze kupanda kila mmoja ana haraka na kutaka kufika mwanzo, Ajali ikitokea na kupoteza maisha ya watu...
1 Reactions
6 Replies
849 Views
Huduma ya kwanza nikuokoa walio hai,Kisha maiti,nilitaraji kivuko kabla ya kuzama wangefanya maarifa kukiopoa pia.Mimi nadhani ni kidogo,mji wa Mwanza na migodi jirani ingeweza kutoa crain...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Basi nikamshtua kidogo kwa kugonga kidogo bati la gari lake kwamba "oyaa washa taa utagonga watu " infact mi sikumuona almanusura anigonge...wakati namstua alikuwa kafunga vioo vya gari yake Salon...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Wakubwa babar zenu Short story.. Baada ya kumaliza chuo nikiwa na shilling million 2 nikajarubu kufanya biashara nikazulumiwa pesa yote.. Girlfriend wangu akanifarij nikasahau yote nikasonga...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom