Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mwananchi amevamiwa na vibaka ameporwa mkoba wake ndani yake mna laini zake za simu na vitambulisho vyake amenda kurudisha imeshindikana kwa kuwa hana kitambulisho. Sheria ya TCRA ili...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Babu mwaminifu: huyo ndio Ravi Shankar Mzee mwaminifu aliokota pesa trakibani milioni 600 za kitanzania na akazipeleka kwake Ikabidi arudi tena pale pale alipokota hiyo pesa ili amuone mtu...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Mtoto mwenye umri chini ya miaka 16 amekamatwa na polisi (trafic) akiwa anaendesha pikipiki Polisi wanasema anapaswa kulipa faini ya tsh. 100,000. Naomba mweny ufahamu wa jambo hili anipe dondoo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Watoto hujifunza kutokana na matendo ya wazazi wao, kama watoto wakilelewa kwenye familia yenye mifarakano na kutokuelewana baina ya wazazi wao mara nyingi watarithi tabia hizo. Wakilelewa kwenye...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi, baada yakutokea ajali asubuhi ya leo amemshukuru Mungu kwa kumuokoa kutoka salama katika ajali huku pia akiwashukuru wananchi wa kijiji cha Kibutuka kwa msaada wao...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Tukio la kusikitisha limetokea huko mkoani Mbeya wilayani Chunya katika kijiji cha Kalambwa. Ilikuwa ni siku ya tarehe 14 Septemba majira ya mchana mtoto wa kiume aitwae Shuku alikwenda porini...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Kama ilivyotangazwa kutokana na ajali ya mv Nyerere kwa kila mwili utakaotambuliwa sh lak 5 zitatolewa Kama ubani .Kwa usawa huu wa vyuma Laki 5 itasababisha watu wachukue maiti zisizokuwa za...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kiukwel nilikuwa nina kipensi changu cha jinzi ambacho ninakivaa ndani ya sare yangu, nilikuwa nakivaa kila siku, kilinipiga tafu sana kwani miaka ile kulikuwa na walimu wanachapa mno, AF cha...
0 Reactions
13 Replies
960 Views
Hapa Dar es salaam kuna wajasiriamali wachache wasomi walioazmia kuleta mabadiliko katika maisha yao kupitia usomi wao katika vitu vidogovidogo...kama vile kuchoma mahindi kwa namna bora zaidi na...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wafanyakazi zaidi ya 50 wa kituo cha mabasi yaendayo kwa haraka (UDART), kutoka kwenye vituo vya Kimara na Gerezani jijini Dar es Salaam wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa tiketi...
8 Reactions
141 Replies
16K Views
Nilitaka tu nifahamu wale waganga wa kienyeji, mabingwa wa kutajirisha watu waliokuwa wakiongozwa na mtu mzito wako wapi siku hizi.
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Kiukweli nimekubali kuwa mzalendo na kurudi nyumbani ila sasa milango yenu bado umefungwa, kwa nini hamtaki kutufungulia Milango wakati Mmetuita wenyewe? 1. Nilirudi nyumbani pale arusha mjini na...
10 Reactions
48 Replies
6K Views
Basi la kampuni ya Kapricon ambalo linalofanya safari zake Dar es salaam kwenda Moshi limepata ajali maeneo Mabungo mbele kidogo ya mizani njia panda Moshi, leo hii Septemba 24, 2018. Chanzo cha...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
Mwenzenu huwa nachukua mda kutafakali kusudio la Mungu kumleta mwanadamu duniani kwa kila tukio linapotokea: Lakini nimegundua kuna kundi la watu MHimu sana jamii huwa hailipi kiaumbele; hili...
28 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama ujumbe unavyosomeka, kuna siku nimepita ile ferry ya MV magogoni nilikuwa nimeshikilia roho mkononi! Hivi, hizi ferry zinachukua watu wangapi? Maana watu wanajazwa mpaka wengine wanajikataza...
21 Reactions
108 Replies
19K Views
Katika taaluma yangu Ndogo Ya ufundi wa magari Yani vehicle mechanics... Ambapo ktk taaruma hii huwa tuna funzwa [emoji116][emoji116] [emoji419]service [emoji419]modifications [emoji419]repair...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Wanabodi, Poleni kwa msiba wa MV Nyerere. Nimetafakari sana kazi iliyofanywa na wenzetu, wazamiaji waliopo katika eneo la Ukara, kabla ya serikali kuanza kuifanya kazi ya kuokoa na kutoa miili ya...
12 Reactions
33 Replies
5K Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesema alipotakiwa kuacha kuvaa viatu shuleni na mwalimu wake wa shule ya msingi ndio sababu iliyopelekea...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania kwanza niwape pole kwa maafa yaliyotokea juma lililopita. Mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu sana. Nimejaribu kuvumilia lakini nimeona isiwe tabu hebu tujadili hili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo, Ines Mtundu (19) kwa kosa la kumtupa chooni mtoto mchanga. Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom