Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pamoja na kwamba watu waliosoma wanatakiwa kuwa kiigizo chema, baadhi yao wametajwa kuwa miongobi mwa wabakaji wa watoto wa like Mkuu wa Wilaya mkoani Manyara Mhandisi Tumaini Magesa àmewaambia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kinachoendelea katika utarabu Wa kurenew line za tigo Ni usumbufu mkubwa Sana. Weekend hii nimekutana na hali ambayo skutegemea, ukitaka kurenew line ya tigo lazma uende tigo shop ukiwa na loss...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2018 Charles Francis Kabeho amezindua kiwanda cha Pombe kali cha Mati Super Brand L.t.d mradi ambao umegharimu shilingi Milioni 120. Aidha...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
mimi ni mwanafunz ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimesomea masomo ya arts lakini nimeamua kwenda kujiunga na veta kwenda kusomea plant operator je naombeni ushauli wana kikundi kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Habari Zenu Wakuu Kwa wale ambao mnaishi hapa Mkoa mpya wa SONGWE tunaweza kukutana hapa tukapeana Fursa Mbalimbali zinazopatikana katika mkoa huu. Mkoa wa Songwe una fursa mbalimbali na of...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Mtanzania, Vedasto Vitalas amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa Barcelona-El Prat, Hispania akiwa na pakiti 2 za dawa za kulevya aina heroine.
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Ndugu zangu; Najua wengi wanaweza wasielewa msingi wa swali langu na mantiki ya hoja hii ila ningependa kujulishwa na wale ambao ni wataalam wa mambo ya usafiri hasa wa majini.Nini jukumu la bima...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kongamano la pili la wadau wa mafuta na gesi limefunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam, Septemba 24, 2018, ambapo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari wana jf, kifupi kuna manzi nilikuwa nadate nae, mwezi uliopita nilipohitaji sex aliniambia yupo kwenye siku zake ila baada ya wiki tatu ananiambia anaujauzito wangu ilhali tangu aniambie...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Pia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi
4 Reactions
47 Replies
4K Views
"Uchaguzi wa Jimbo la LIWALE na KATA 37 Nchini ufutwe. Ubunge wa Jimbo hilo na Udiwani wa Kata hizo wapewe wagombea wa Chama kinachotutawala. Halafu FEDHA ambazo zingegharamia UCHAGUZI huo...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Ingawa Serikali ya Tanzania haiamini katika ushirikina wala matambiko, kuna watu mbalimbali na jamii tofauti zinaamini katika mambo hayo. Serikali imekuwa ikipinga na kulaani vitendo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wafanyabiashara, washauri wa biashara na wahasibu mkoani Manyara wametakiwa kuripoti vitendo vya uvunjifu wa maadili vinavyofanywa na watumishi wa mamlaka ya mapato Tanzania [TRA] pindi...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Wasalaam na poleni kwa msiba mzito wa taifa,Yes ni wa kitaifa sababu kila mtanzania mwenye siha njema ya akili huu ni msiba mzito. Nianze na kusimulia ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo kwanza...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Sote tunakumbuka Makonda alivyofanikiwa kuwaondoa machinga maeneo ya barabarani hasa maeneo ya mjini na stendi. Njia ziliweza kupitika kiurahisi sana na kero za barabarani zilipungua. Kwa maeneo...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Sisi Waafrika tunaendeshwa na matukio badala ya sisi kuyaendesha matukio. Maana hii mijadala sijawahi kuiona au kuisikia kwenye vyombo vya habari siku za nyuma, ila sasa baada ya tukio la ajali...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni muajiliwa mkoa Fulani,nilitaka kwenda chuo(university) mwaka huu 2018,lakini kwa sababu sikua na sifa hivyo inanilazimu nisome foundation course mwaka mmoja ,na ada ya foundation course ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1. KOLOMIJE. Inasemekana mahali hapo alifika Mzungu aliyeitwa James, hivyo huyu Mzungu akataka watu wamwiite "J" badala ya kutamka jina lote. Hivyo akawaambia CALL ME J, wabantu wakatamka KOLOMIJE...
14 Reactions
42 Replies
7K Views
Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri. Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom