Hawa waumini kwa majungu na umbea nawatunuku shahada ya uzamifu

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,570
15,319
Sio siku chache nimetoka kupambana na ndugu wanaokuja kusalimia kwa lengo mufirisi, akiondoka ni kutangaza mambo ya uongo na majungumajungu utadhani walikuwa maagenti wa Mossad wametumwa kuipeleleza iran.

Sasa kuna waumini (jina la itikadi kapuni) nilipata malalamiko kuwa huwa wakipita kutembelea huwa hawaishii kukujulia heri tu bali wanauchunguza mji wako na kuanza kutunga maneno na kuyasambaza hadi yanakurudia. Nimepigwa langu moja hadi nimekumbuka kaulinya Bwana Yesu '' roho I radhi lakini mwili ni dhaifu".

Kuna mmoja katembelewa wamekuta Harufu ya Sigara, bila kuuliza anashauriwa aache sigara wakati hajui hata bei yake.
Mwingine wamekuta Karunguyeye numbani kwake tayari ameitwa mchawi.
Mwingine mfugaji kuku kidogo kaachia kimba yake sebureni wamama wote wanatangaziana kuwa huyo mama ni mchafu sana. hata kwake hawajafika.
Mwingine kaambiwa anahali ngumu mno ya maisha, wakati walipomtembelea aliwanunulia hadi kuku jogoo la kienyeji kwa upendo na hajawaambia kama yeye anahali gani.
Mwingine akitembelewa macho ya waumini yanatapakaa kukagua kila kona ya nyumba kutafuta mapungufu. Wakina mama wakatoka na jungu moja kuwa anamavitu meeengi ya watoto kuchezea anajifanya tajiiri!!!

Kama haitoshi, chungaji naye akapewa lake, '' mchungaji gani masikini, kila siku anavizia lift za magari yetu? alafu anazaa watoto weengi utadhani bata, vitoto vyenyewe vichafuu!!"

Huu unafiki, ufukunyungu, ukuda na umbea kwenye makanisa utasababisha makanisa kuwa mabanda ya shetani ya kufugua wafuasi wake.
 
Umefikia wapi mkuu

Wewe fanya yako mkuu binadamu huwezi kumzuia kusema, wengine wasipowasema wenzao wanaumwa kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Ndio mkome mnajipeleka wenyewe huko kwenye hivyo visinagogi mimi binafsi siruhusu sehemu pekee ya ibada kiitikadi ni kanisani mbona wenzetu hawa jirani hawana hizi taratibu cjui mkesha mara jumuia ni ubadhirifu wa muda!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom