Huduma ST Scan Hospital ya Ikonda -Makete

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,239
1,884
Habari wana JF.

Tangu wiki iliyopita mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki huko Songea na kuumia/kupata fractual kwenye fuvu la kichwa. Hali ya mgonjwa ni mbaya na anatia wasiwasi.

Madaktari wametushauri mgonjwa wetu tumpeleke Hospital ya Muhimbili, Agha Khan au KCMC ili apatiwe huduma ya ST Scan ili kuona ukubwa wa tatizo na kupatiwa matibabu ya haraka.

Nilikuwa naomba msaada wenu wakuu kujua kama huduma hii ya ST Scan na matibabu naweza kuipata kule Ikonda Hospital na gharama zake pia zikoje?

Ahsanteni
 
Pole sana mkuu ila CT scan ni gharama kubwa nahisi ni Kati ya 300k hadi 600k na hupatkanat ktk hospital kubwa kubwa tu
 
Pole sana mkuu ila CT scan ni gharama kubwa nahisi ni Kati ya 300k hadi 600k na hupatkanat ktk hospital kubwa kubwa tu

Ahsante Mkuu!
Kwa hiyo huduma hii ya ST Scan haipatikani Ikonda hospital as umemaanisha nn?
 
Ushauri wenu tafadhali, ni wapi naweza kwenda na kupata huduma hii kwa haraka zaidi, hasa maeneo ya huko Nyanda za juu kusini.
 
CT nenda mbeya kwa wahindi sio referral hospita au muhimbili.
N kipimo ghali n 300k had 350k nje.ila kwa muhimbili kama una rufaa n 150k.Pole sana kwa kuuguza.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kuulizia Peramiho
Habari wana JF.

Tangu wiki iliyopita mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki huko Songea na kuumia/kupata fractual kwenye fuvu la kichwa. Hali ya mgonjwa ni mbaya na anatia wasiwasi.

Madaktari wametushauri mgonjwa wetu tumpeleke Hospital ya Muhimbili, Agha Khan au KCMC ili apatiwe huduma ya ST Scan ili kuona ukubwa wa tatizo na kupatiwa matibabu ya haraka.

Nilikuwa naomba msaada wenu wakuu kujua kama huduma hii ya ST Scan na matibabu naweza kuipata kule Ikonda Hospital na gharama zake pia zikoje?

Ahsanteni
 
Ct scan ikonda ipo gharama yake ni 300k! Nna ndugu yangu alifanyiwa iyo huduma mwaka jana

Ahsante mkuu kwa ushuhuda huu.

Labda nisaidie kujua hili, huduma hii ya ST Scan ni ya kila siku au hufanywa na pilot doctors? Na je gharama zao zikoje kama mgonjwa atahitaji kufanyiwa upasuaji?
 
Nafikiri kwa ushauri walioutoa madaktari watakuwa wamegundua tatizo ni kubwa linahitaji timu ya madaktari bingwa.
Fuata ushauri wao. Huko kwingine unaweza kupata vipimo tu kisha watakwambia uende Muhimbili.
 
Ahsante mkuu kwa ushuhuda huu.

Labda nisaidie kujua hili, huduma hii ya ST Scan ni ya kila siku au hufanywa na pilot doctors? Na je gharama zao zikoje kama mgonjwa atahitaji kufanyiwa upasuaji?
Huduma ipo wewe nenda na rufaa yako mwambie Dr atakufanyia faster na matibabu ya ikonda ni very cheap mkuu.Ikonda Hata viungo bandia wanatoa kwa Bei cheeeee....
 
Back
Top Bottom