Ujumbe wangu kwenu wana Jamiiforums

Ujumbe wangu kwenu wana Jamiiforums

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,026
Reaction score
168,615
KUNA WAKATI NAWAZA "MBELE "SANA..NATAKA KUTIMILIZA MENGI SANA ..!...TUTIMILIZE PAMOJA BASI RAFIKI YANGU.
1.Nataka na wewe uamue kutimiliza kitu..!Usiende siku zote mwaka mzima au miaka miingi bila Kutimiliza lengo lako.>!Kama ni Kujenga we anza kujenga tu,Kama ni gari we nunua, kama ni ada we lipa tu,kama ni Biashara we anzisha tu, Yaani anza kufanya kitu
2.Tembea na watu wenye Busara, akili na maarifa zaidi yako, Yaan jizingire na watu wanao kuhamasisha,watu watakaokufanya ujisikie unaweza kufanya vzr, watu watakaokupa changamoto ya kuendelea kujiboresha.Ndio hivyo.
3.Tazama uvaaji wako na muonekano wako kiujumla.Usivae chochote tu ilimradi umevaa.Maana muonekano wako unaakis mengi juu ya wewe. Nyoosha Vazi lako vzr, usivae hata nguo zisizokutosha vzr ,vaa kwa heshima au uvaaji wako uwe simpo wenye viwango.
4.Tazama unavyozungumza..!Yaan kabla ya Kuanza kupayuka payuka au kuongea,kabla ya kufungua kinywa chako inakubidi utafakari ni nani unazungumza naye,Wapi unapozungumzia,wakati gani unazungumza na hakika elewa unapaswa kuwa makini kuitunza heshima yako. Kwa mazingira ya wengi,penda kuchagua kuwa Mkimya kama mimi, na kama unazungumza... zungumza basi ujumbe wako uwe wenye tija.
5.Watembelee wazazi mara kwa mara, Elewa wazazi ndio Mungu wetu hapa Duniani..!..Elewa kwamba kule Nyumbani wazee hawahitaji sana fedha zako, na hawahitaji sana kuwepo kwako,BALI wanahitaji mtu ambaye wanamuona na hakika wanajivunia kwa mafanikio yake na hatua aliyofika/aliyonayo.!Yoyote lle.
6.Kuwa mtu wa Kuomba zaidi.Muombe Mungu sana.Hakika hauwezi kuishi maisha yako ukiamin vitu vinatokea tu, Kuna Mungu anayeruhusu Baraka na Mema kutokea katika maisha yak😵mba mbele zake.Mnyenyekee Mungu tu.
7.Pengine wewe unayesoma andiko langu hapa, Hujaoa/kuolewa.! Anza Kumuomba Mungu juu ya Mke au Mume unayemtaka.! Umri unakimbia na maisha ndio haya haya tunayoishi wenzako, Hivyo anza kununua baadhi ya vitu vifaaa utakavyoona vitakufaa au utakavyovihitaji kwenye maisha yako ya Kuishi na Mkeo/Mume.Jifunze namna ya Kuishi kwa heshima na hekima..!Jiandae.
8.Kila wakati fikiri mambo chanya na si kinyume, Unapoona Chui wanamuomba Mungu,usiungane nao.Unaweza ukawa na mtazamo chanya kwamba hawawezi kukudhuru kwa sababu wanaomba, lkn hebu kuwa Mhalisi pia, Maana baada ya Maombi wataendelea kuwa chui na hatimaye wakakudhuru tu..!
9.Fanya Ibada hata ya Kutoa kwa Kusaidia wenye shida mabarabarani, au majirani na hata wakati mwingine fanya kuwasaidia wazee wako wa imani, wachungaji etc, Nunua hata zawadi yoyote, Ifunge na mzawadie Mchungaji wako.Sijui mwenzangu ni lini ilikuwa mara ya mwisho hata kumpa zawadi Mtumishi wako, au Jirani yako ?Najua huwezi kujua ni kipi anapitia Mtumishi wako au jirani yako, lkn kwa kufanya hivyo, Unakuwa umemsaidia.. na yeye atakuombea zaidi Baraka .!Ili mradi ufanye kwa moyo mmoja ili pia Mtumishi wa Mungu au Jirani yako huyo ajue kuna Mtu anamjali ndani ya Kanisa lake, au ndani ya eneo lake la karibu.
10. Jingine la Kufanya ni hili la Uwekezaji.Tuwek
eze zaidi na kutumia kidogo.Fedha nyingi tuelekeze kwenye kuwekeza ,Kama ni Ardhi unapata habari ya kuuzwa na hela unayo, nunua..! Kama ni kuweka Hisa, Wekeza, kama ni Kuanzisha biashara..Anzisha..!ni vyema kuanzisha na ufeli ili ujirekebishe na kusonga mbele, kuliko kutojaribu kuanzisha hata mara moja.!Maana inatakiwa kuhakikisha una Mkondo zaidi ya Mmoja wa Kipato.Ndio.
11.Usiache pia kupata Muda wa kutosha wa Kupumzika, Tembelea na familia yako mara kwa mara/toka na familia yako mara kwa mara inapowezekana(Kutoka siyo mpaka kutumia malaki au Mamilioni), Tembelea Bustani kama unalima lima tumboga, Kama kuna fukwe mpende kucheza cheza huko baharini au kwenye mito/maziwa..!
Daaa....Nitaandika na yatakuwa marefu mno, Acha niwatakie Mapumziko mema kwa haya Machache ..!Mbarikiwe sana
 
Shukrani sana kwa somo na ukumbusho, lakini nakuomba kitu acha space kwenye kila namba ili msomaji asiumie macho, asichoke kusoma pia avutike kwa kile akisomacho... ni hayo tu kaka mkubwa.
 
Ulivyoandika vyote ni muhimu kwa maisha na ustawi was mwanadamu,kwa kuongezea ukiwa na watu smart hata kama ulikuwa una kitu lazima uta gain kitu ambacho kitakutoa hatua moja kwenda nyingine.hongera sana kwa madini hya.
 
12. Usisahau kufurahia na marafiki na kula pesa zako...Kupata mvinyo kiasi huongeza furaha ya nafsi...
 
KUNA WAKATI NAWAZA "MBELE "SANA..NATAKA KUTIMILIZA MENGI SANA ..!...TUTIMILIZE PAMOJA BASI RAFIKI YANGU.
1.Nataka na wewe uamue kutimiliza kitu..!Usiende siku zote mwaka mzima au miaka miingi bila Kutimiliza lengo lako.>!Kama ni Kujenga we anza kujenga tu,Kama ni gari we nunua, kama ni ada we lipa tu,kama ni Biashara we anzisha tu, Yaani anza kufanya kitu
2.Tembea na watu wenye Busara, akili na maarifa zaidi yako, Yaan jizingire na watu wanao kuhamasisha,watu watakaokufanya ujisikie unaweza kufanya vzr, watu watakaokupa changamoto ya kuendelea kujiboresha.Ndio hivyo.
3.Tazama uvaaji wako na muonekano wako kiujumla.Usivae chochote tu ilimradi umevaa.Maana muonekano wako unaakis mengi juu ya wewe. Nyoosha Vazi lako vzr, usivae hata nguo zisizokutosha vzr ,vaa kwa heshima au uvaaji wako uwe simpo wenye viwango.
4.Tazama unavyozungumza..!Yaan kabla ya Kuanza kupayuka payuka au kuongea,kabla ya kufungua kinywa chako inakubidi utafakari ni nani unazungumza naye,Wapi unapozungumzia,wakati gani unazungumza na hakika elewa unapaswa kuwa makini kuitunza heshima yako. Kwa mazingira ya wengi,penda kuchagua kuwa Mkimya kama mimi, na kama unazungumza... zungumza basi ujumbe wako uwe wenye tija.
5.Watembelee wazazi mara kwa mara, Elewa wazazi ndio Mungu wetu hapa Duniani..!..Elewa kwamba kule Nyumbani wazee hawahitaji sana fedha zako, na hawahitaji sana kuwepo kwako,BALI wanahitaji mtu ambaye wanamuona na hakika wanajivunia kwa mafanikio yake na hatua aliyofika/aliyonayo.!Yoyote lle.
6.Kuwa mtu wa Kuomba zaidi.Muombe Mungu sana.Hakika hauwezi kuishi maisha yako ukiamin vitu vinatokea tu, Kuna Mungu anayeruhusu Baraka na Mema kutokea katika maisha yak😵mba mbele zake.Mnyenyekee Mungu tu.
7.Pengine wewe unayesoma andiko langu hapa, Hujaoa/kuolewa.! Anza Kumuomba Mungu juu ya Mke au Mume unayemtaka.! Umri unakimbia na maisha ndio haya haya tunayoishi wenzako, Hivyo anza kununua baadhi ya vitu vifaaa utakavyoona vitakufaa au utakavyovihitaji kwenye maisha yako ya Kuishi na Mkeo/Mume.Jifunze namna ya Kuishi kwa heshima na hekima..!Jiandae.
8.Kila wakati fikiri mambo chanya na si kinyume, Unapoona Chui wanamuomba Mungu,usiungane nao.Unaweza ukawa na mtazamo chanya kwamba hawawezi kukudhuru kwa sababu wanaomba, lkn hebu kuwa Mhalisi pia, Maana baada ya Maombi wataendelea kuwa chui na hatimaye wakakudhuru tu..!
9.Fanya Ibada hata ya Kutoa kwa Kusaidia wenye shida mabarabarani, au majirani na hata wakati mwingine fanya kuwasaidia wazee wako wa imani, wachungaji etc, Nunua hata zawadi yoyote, Ifunge na mzawadie Mchungaji wako.Sijui mwenzangu ni lini ilikuwa mara ya mwisho hata kumpa zawadi Mtumishi wako, au Jirani yako ?Najua huwezi kujua ni kipi anapitia Mtumishi wako au jirani yako, lkn kwa kufanya hivyo, Unakuwa umemsaidia.. na yeye atakuombea zaidi Baraka .!Ili mradi ufanye kwa moyo mmoja ili pia Mtumishi wa Mungu au Jirani yako huyo ajue kuna Mtu anamjali ndani ya Kanisa lake, au ndani ya eneo lake la karibu.
10. Jingine la Kufanya ni hili la Uwekezaji.Tuwek
eze zaidi na kutumia kidogo.Fedha nyingi tuelekeze kwenye kuwekeza ,Kama ni Ardhi unapata habari ya kuuzwa na hela unayo, nunua..! Kama ni kuweka Hisa, Wekeza, kama ni Kuanzisha biashara..Anzisha..!ni vyema kuanzisha na ufeli ili ujirekebishe na kusonga mbele, kuliko kutojaribu kuanzisha hata mara moja.!Maana inatakiwa kuhakikisha una Mkondo zaidi ya Mmoja wa Kipato.Ndio.
11.Usiache pia kupata Muda wa kutosha wa Kupumzika, Tembelea na familia yako mara kwa mara/toka na familia yako mara kwa mara inapowezekana(Kutoka siyo mpaka kutumia malaki au Mamilioni), Tembelea Bustani kama unalima lima tumboga, Kama kuna fukwe mpende kucheza cheza huko baharini au kwenye mito/maziwa..!
Daaa....Nitaandika na yatakuwa marefu mno, Acha niwatakie Mapumziko mema kwa haya Machache ..!Mbarikiwe sana

Sema nimeicopy kwa Mbunge Peter Msigwa.
 
nashukuru ..nashukuru ..nashukuru"" mnooo"" kwahii topic""
binafsi kuna wakati huwa natamani pawe na jukwaa mahususi linalohusu"" mada mbali mbali kama hizi zakukumbushana wajibu wetu kama binaadamu"" na mada ambazo zinatoa chachu aka motisha ya kutufanya tuweze kujitambua zaidi ili iwe rahisi kwetu kuweza kuyakimbilia maendeleo""

barikiwa "" sana
 
KUNA WAKATI NAWAZA "MBELE "SANA..NATAKA KUTIMILIZA MENGI SANA ..!...TUTIMILIZE PAMOJA BASI RAFIKI YANGU.
1.Nataka na wewe uamue kutimiliza kitu..!Usiende siku zote mwaka mzima au miaka miingi bila Kutimiliza lengo lako.>!Kama ni Kujenga we anza kujenga tu,Kama ni gari we nunua, kama ni ada we lipa tu,kama ni Biashara we anzisha tu, Yaani anza kufanya kitu
2.Tembea na watu wenye Busara, akili na maarifa zaidi yako, Yaan jizingire na watu wanao kuhamasisha,watu watakaokufanya ujisikie unaweza kufanya vzr, watu watakaokupa changamoto ya kuendelea kujiboresha.Ndio hivyo.
3.Tazama uvaaji wako na muonekano wako kiujumla.Usivae chochote tu ilimradi umevaa.Maana muonekano wako unaakis mengi juu ya wewe. Nyoosha Vazi lako vzr, usivae hata nguo zisizokutosha vzr ,vaa kwa heshima au uvaaji wako uwe simpo wenye viwango.
4.Tazama unavyozungumza..!Yaan kabla ya Kuanza kupayuka payuka au kuongea,kabla ya kufungua kinywa chako inakubidi utafakari ni nani unazungumza naye,Wapi unapozungumzia,wakati gani unazungumza na hakika elewa unapaswa kuwa makini kuitunza heshima yako. Kwa mazingira ya wengi,penda kuchagua kuwa Mkimya kama mimi, na kama unazungumza... zungumza basi ujumbe wako uwe wenye tija.
5.Watembelee wazazi mara kwa mara, Elewa wazazi ndio Mungu wetu hapa Duniani..!..Elewa kwamba kule Nyumbani wazee hawahitaji sana fedha zako, na hawahitaji sana kuwepo kwako,BALI wanahitaji mtu ambaye wanamuona na hakika wanajivunia kwa mafanikio yake na hatua aliyofika/aliyonayo.!Yoyote lle.
6.Kuwa mtu wa Kuomba zaidi.Muombe Mungu sana.Hakika hauwezi kuishi maisha yako ukiamin vitu vinatokea tu, Kuna Mungu anayeruhusu Baraka na Mema kutokea katika maisha yak😵mba mbele zake.Mnyenyekee Mungu tu.
7.Pengine wewe unayesoma andiko langu hapa, Hujaoa/kuolewa.! Anza Kumuomba Mungu juu ya Mke au Mume unayemtaka.! Umri unakimbia na maisha ndio haya haya tunayoishi wenzako, Hivyo anza kununua baadhi ya vitu vifaaa utakavyoona vitakufaa au utakavyovihitaji kwenye maisha yako ya Kuishi na Mkeo/Mume.Jifunze namna ya Kuishi kwa heshima na hekima..!Jiandae.
8.Kila wakati fikiri mambo chanya na si kinyume, Unapoona Chui wanamuomba Mungu,usiungane nao.Unaweza ukawa na mtazamo chanya kwamba hawawezi kukudhuru kwa sababu wanaomba, lkn hebu kuwa Mhalisi pia, Maana baada ya Maombi wataendelea kuwa chui na hatimaye wakakudhuru tu..!
9.Fanya Ibada hata ya Kutoa kwa Kusaidia wenye shida mabarabarani, au majirani na hata wakati mwingine fanya kuwasaidia wazee wako wa imani, wachungaji etc, Nunua hata zawadi yoyote, Ifunge na mzawadie Mchungaji wako.Sijui mwenzangu ni lini ilikuwa mara ya mwisho hata kumpa zawadi Mtumishi wako, au Jirani yako ?Najua huwezi kujua ni kipi anapitia Mtumishi wako au jirani yako, lkn kwa kufanya hivyo, Unakuwa umemsaidia.. na yeye atakuombea zaidi Baraka .!Ili mradi ufanye kwa moyo mmoja ili pia Mtumishi wa Mungu au Jirani yako huyo ajue kuna Mtu anamjali ndani ya Kanisa lake, au ndani ya eneo lake la karibu.
10. Jingine la Kufanya ni hili la Uwekezaji.Tuwek
eze zaidi na kutumia kidogo.Fedha nyingi tuelekeze kwenye kuwekeza ,Kama ni Ardhi unapata habari ya kuuzwa na hela unayo, nunua..! Kama ni kuweka Hisa, Wekeza, kama ni Kuanzisha biashara..Anzisha..!ni vyema kuanzisha na ufeli ili ujirekebishe na kusonga mbele, kuliko kutojaribu kuanzisha hata mara moja.!Maana inatakiwa kuhakikisha una Mkondo zaidi ya Mmoja wa Kipato.Ndio.
11.Usiache pia kupata Muda wa kutosha wa Kupumzika, Tembelea na familia yako mara kwa mara/toka na familia yako mara kwa mara inapowezekana(Kutoka siyo mpaka kutumia malaki au Mamilioni), Tembelea Bustani kama unalima lima tumboga, Kama kuna fukwe mpende kucheza cheza huko baharini au kwenye mito/maziwa..!
Daaa....Nitaandika na yatakuwa marefu mno, Acha niwatakie Mapumziko mema kwa haya Machache ..!Mbarikiwe sana

Mkuu Bujibuji! Ni ndefu sana jamaa yangu,,, baadae kidogo nitaimalizia.
 
Back
Top Bottom