DC Kiteto ataka wabakaji wamwagiwe maji

DC Kiteto ataka wabakaji wamwagiwe maji

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Pamoja na kwamba watu waliosoma wanatakiwa kuwa kiigizo chema, baadhi yao wametajwa kuwa miongobi mwa wabakaji wa watoto wa like

Mkuu wa Wilaya mkoani Manyara Mhandisi Tumaini Magesa àmewaambia madiwani wa halm ya Kiteto kuwa hilo halikubaliki

DC Magesa amesema kamwe haoni sababu ya kusehewa watu hao na badala yake kabla ya kufikishwa kwenye sheria wananchi wawamwagie hapo maji kuonyesha kukerwa na kitendo hicho

Vitendo vya ubakaji Kiteto vimetajwa kuwa tishio hali iliyofaya Mkuu huyo wa Wilaya kuagiza hatua hiyo
 
Mkuu tulia kisha andika vizuri.
 
MWAMBIENI KUWA CCM NDIO WANAWAHIFADHI WABAKAJI. KUNA MMOPJA ALIKUWA DIWANI KULE HAI LIKUWA NA KESI YA KUBAKA ALIPOHAMIA CCM KESI IKAFUTA AKAPEWA NAFASI TENA YA KUGOMBEA UDIWANI
 
Kumwagiwa maji....sijaelewa bado ..maji ya upupu au...kivipi yani
IMENIKUMBUSHA CLIP MOJA NILIONA YA KIJANA MTATA (SI RIZKI) ANAJIITA DANI MTOTO WA MAMA WENZAKE WANAKIMBIZA MWIZI, MWIZI ALIPOPITA MBELE YAKE AKAMWAGIA MAJI YA SAMAKI ALIPOULIZWA AKAJIBU KWA SAUTI YA KISHOGA "NIMEMWAGIA SHOMBO LA SAMAKI"
 
Hahahahaaaa... Masihara hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pamoja na kwamba watu waliosoma wanatakiwa kuwa kiigizo chema, baadhi yao wametajwa kuwa miongobi mwa wabakaji wa watoto wa like

Mkuu wa Wilaya mkoani Manyara Mhandisi Tumaini Magesa àmewaambia madiwani wa halm ya Kiteto kuwa hilo halikubaliki

DC Magesa amesema kamwe haoni sababu ya kusehewa watu hao na badala yake kabla ya kufikishwa kwenye sheria wananchi wawamwagie hapo maji kuonyesha kukerwa na kitendo hicho

Vitendo vya ubakaji Kiteto vimetajwa kuwa tishio hali iliyofaya Mkuu huyo wa Wilaya kuagiza hatua hiyo
Mmmh!!! Sasa sherehe za birthday si zitaonekana ni ubakaji?
 
Back
Top Bottom