Ulevi mwingine huwa una makusudi

Ulevi mwingine huwa una makusudi

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
322
Reaction score
286
"Uchaguzi wa Jimbo la LIWALE na KATA 37 Nchini ufutwe. Ubunge wa Jimbo hilo na Udiwani wa Kata hizo wapewe wagombea wa Chama kinachotutawala. Halafu FEDHA ambazo zingegharamia UCHAGUZI huo zipelekwe MWANZA kuwasaidia waathirika wa MV Nyerere" Nimekutana na MLEVI mmoja wakati huu akijisemesha mwenyewe, wala sikumjibu nilibaki nacheka tu.

MUNGU awajalie pumziko la milele marehemu wote hasa wa MV Nyerere. Mbele yao, nyuma yetu
 
Ukiipata iliyoiva vema na kukukolea barabara ni lazima uongee mambo yenye "hekima " ya kiwango cha mfalme Suleiman! 😁😁😁😁😁
 
"Uchaguzi wa Jimbo la LIWALE na KATA 37 Nchini ufutwe. Ubunge wa Jimbo hilo na Udiwani wa Kata hizo wapewe wagombea wa Chama kinachotutawala. Halafu FEDHA ambazo zingegharamia UCHAGUZI huo zipelekwe MWANZA kuwasaidia waathirika wa MV Nyerere" Nimekutana na MLEVI mmoja wakati huu akijisemesha mwenyewe, wala sikumjibu nilibaki nacheka tu.

MUNGU awajalie pumziko la milele marehemu wote hasa wa MV Nyerere. Mbele yao, nyuma yetu

Hahahaaa msistizo kuwa anamanisha marehem gani unaweza kuta unaombea marehem mwizi alie uwawa
 
Hakuna ulev wa makusudi ujue mlevi huwa anajielewa anacho fanya
 
Mlevi hasemi uongo hata siku moja, hata katika hilo hajaongopa kabisa
 
...walevi wana mambo mazito wameficha kichanii...kaaa nao karibuu utapata storiii....haswa madaktari...walimu...wabeba mawe
 
Back
Top Bottom