edimkali
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 212
- 139
Mimi ni muajiliwa mkoa Fulani,nilitaka kwenda chuo(university) mwaka huu 2018,lakini kwa sababu sikua na sifa hivyo inanilazimu nisome foundation course mwaka mmoja ,na ada ya foundation course ni 635000/= kwa huo mwaka mmoja ,so itanibidi nilipe nusu muhula wa kwanza then nusu iliobaki nimalizie,sasa ndio nasubilia kukubaliwa maana nishatuma maombi,
Lakini nimekutana na watu mbali mbali wananishauli niende Uganda Kampala university kuna Huduma nzuri2,so nisipoteze pesa kwa hiyo foundation course,na kwa kuwa form six nilikua na principal pass 3 za E,E,E mchepuo wa PCM,So wameniambia napata chuo vizuri2,na weniambia faida nyingine ni exposure na lugha itaimalika maana kiingereza kinanitesa,
Sasa wakuu nimeleta hapa mnisaidie maana lengo langu kubwa la foundation course nipate vigezo then nikasome chuo chochote nchini, na nilikua na matumaini ya kuomba mkopo,sasa huko Kampala itabidi nijisomeshe japo hilo kwangu halinipi shida,sasa wakuu mnanisaidiaje jamani? IPI ni njia sahihi kwangu maana napata wakati mgumu,kuna wakati naona nifanye2 biashara maana umri nao unanikimbia miaka 30 sasa.
Natanguliza shukurani