Kupotea hauwezi sema unaweza kuchelewa kufika unakoendaPia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi
Mkuu umeajiriwa lini?Pia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi
mtu hapotei anachelewa kufika.
huyo kwenye avatar ni wewe?
Mmh..! 🤔[emoji115][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Pia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi
Kweli kabisa maana atapata ubatizo wa asiliHili wazo bora kabisa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Acha fikra potovu weweUkifika dar nunua kilo 5 za unga wa sembe half kila utapotembea mwaga unga kiasi kama alama,ili usipotee wakati ukirejea hom hapo ulipofikia kwa wenyeji wako
Pia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi
Pia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi