Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa hesabu zangu tu za kawaida mchanganuo wa rambi rambi mpaka sasa upo ivi:- mpaka sasa marehemu ni '225 manusura ni 40~ jumla ya watu wote ni 265 waliokua kwenye kivuko TUANZE. - serikali...
3 Reactions
3 Replies
848 Views
Wanabodi, Mwana Jf mwenzetu, William Malecela, Le Mutuz Super Brand, by professional ni baharia, hivyo ameitwa TBC kutoa expert opinion kuhusiana na usalama wa melini. Tumfuatilie. P Update...
40 Reactions
330 Replies
38K Views
Kwanza napenda kuwapa pole ndugu wote waliopatwa na msiba huu mzito pamoja na watanzania kwa ujumla. Napenda kutoa mapendekezo kwa serikali kuhusu namna bora ya kuhakikisha kuwa vivuko vyetu...
1 Reactions
2 Replies
623 Views
Mpaka sasa bado sijaelewa napoambiwa kuwa mazoezi husaidia katika kusaidia wanandoa au wapenzi kudumu katika tendo la ndoa, je ni mazoezi husaidia kuondoa pre nature ejaculate??husaidia uume...
2 Reactions
32 Replies
13K Views
Habari wanaJf, Ukara ni moja ya visiwa vingi vilivyo ndani ya ziwa Victoria. Kisiwa hiki kipo umbali wa takribani kilometer 10 kaskazini ya kisiwa cha Ukerewe. Ajali ya Mv Nyerere ambayo leo...
33 Reactions
89 Replies
17K Views
Salaaam bandugu! leo nina dukuduku langu la kumwaga hapa natumai litawafikia wahusika lisipofika itabidi nikwee pipa niende kureport makao makuu hehehehehehe (ni utani tu). Kwa siku takribani 15...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mwenye taarifa juu ya lile shimo kubwa mbele ya msikiti wa Lindi Kariakoo mithili ya mgodi wa mawe, ni mali ya nani
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilimsikia kangi lugola akiirembesha kauli ya magufuli kuwa msiba usitumike kisiasa Nataka kujua tu waliokufa walikuwa wanaccm au kangi lugola hakuwaona hawa
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza, Vijana wengi huwa wanasafiri kwenda Jozzy kwa kutumia usafiri wa kuunganisha Mabasi. Hivi nauli huwa ni rahisi kiasi gani ukilinganisha na Ndege maana bajeti huwa kama Laki 2...
1 Reactions
30 Replies
13K Views
Wanajamvi naomba nirudi tena kwenye hii taasisi yenye dhamana ya ufundi. Kwa mtazamo wa haraka kuna madudu mengi hasa watumishi wenye vyeti feki na wanaotumia vyeti vya wengine. Nafikiri ni...
2 Reactions
23 Replies
11K Views
Kusema kweli kuna baadhi ya masharti ya waganga wa kienyeji yanadhalilisha sana. Unakuta mtu ni mkubwa kabisa cheo cha juu anapewa masharti ya kutohudhuria misiba ya nduguze. Unakuta mtu ni bosi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu Amani iwe nanyi Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata...
14 Reactions
92 Replies
12K Views
Kati ya watu wanao ichukia hii mitandao ni mimi tokea niache kutumia hii mitandao natumia mda wangu vizuri bando linachelewa kuisha 'google ndo imekuwa kimbilio langu najifunza vitu vipya na...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
katika mambo yanayoumiza ndo haya kila siku shilingi inapunguwa thamani dhidi ya dola hii ni hatari mno jee serikali yetu inafanyaje kuovercome hili tatizo natamani sana nione shilingi ikiimarika...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
MKOA wa Manyara sasa umefikisha miaka ingawa sio sana toka ugawanywa kutoka Mkoa wa Arusha. Kimsingi mkoa mpya unachangamoto nyingi ila sasa Manyara hatupaswi kulia lia tumekuwa Nataka niwatie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Makampuni makubwa yanazidi kuwekeza kwenye ujuzi badala ya vyeti. Lango la ajira linafunguliwa kwa anayeweza sio mwenye vyeti bila kujali kasoma au la. Ukienda migodini utakuta jamaa form four...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Yapo maswali mengi ya kuuliza na kujifunza kutoka kwa wengine, kufuatia tamko la Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Je, Serikali imewahi kutathmini sheria ya kufunga na kufungua maduka au sehem za kuuzia...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari ya kazi wanajamii, Kwenu nyie watoa huduma katika taasisi za kiserikali, najua baadhi yenu mpo humu Jamiiforums Kiukweli kabisa mnakera sana, na sijui kwenye hizo ofisi zenu mmeajiriwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna anayekubali kuzaa na mume wa mtu; ikumbukwe kuwa mapenzi ni hisia. Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mme wamtu ... ile mnaendelea kuhudumiana .. mimba. Unakataa kwamba huyo mume wa mtu...
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Back
Top Bottom