Kizito Dickson
Senior Member
- Sep 24, 2018
- 174
- 209
Ndugu zangu;
Najua wengi wanaweza wasielewa msingi wa swali langu na mantiki ya hoja hii ila ningependa kujulishwa na wale ambao ni wataalam wa mambo ya usafiri hasa wa majini.Nini jukumu la bima ya chombo cha majini na ni vipi mtu ambae amekufa anafidiwa na anatakiwa afuate utaratibu gani katika kudai fidia(Hapa namaanisha iwapo ndugu zake wanataka fidia utaratibu unakuwaje)
Vile vile iwapo meli ile haina bima je ni sawa kwa serikali kuendesha chombo kisichokuwa na bima?Je na magari ya serikali,jeshi,polisi n.k. hayana bima?Kama hayana je wakati si umefika sasa wa kuweka utaratibu maalum wa kuyalipia Bima magari haya ili kuhakikisha wahanga wanapata haki bila kupitia bureaucracy ya serikali?
Ni mawazo yangu