Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Sisi Waafrika tunaendeshwa na matukio badala ya sisi kuyaendesha matukio.
Maana hii mijadala sijawahi kuiona au kuisikia kwenye vyombo vya habari siku za nyuma, ila sasa baada ya tukio la ajali wataalamu kadhaa tunawaona kwenye runinga wakichambua usafiri wa majini & it's safety.
Mzungu mmoja alisema kuwa "Waafrika hawawezi kuona mbali, wanaona karibu tu, na hata wakiona tatizo lililo karibu hawawezi kutatua"
Sasa hivi wataalamu uchwara wako Chanel ten wakitoa darasa.