Neema ya Mungu ni kubwa mno kwa taifa letu

Mkuu japo kuna mtu yeye furaha yake tuchukiane na tusishirikiane kwenye Shughuli mbalimbali.

Angalia alivyowapiga 'beat' Wabunge wake walivyoenda kumuona Mwenzao Gerezani!

Mungu atunusuru hizo ndoto zake zisitimie.
 
Back
Top Bottom