Tanzania tuwaige Korea kusini

Tanzania tuwaige Korea kusini

batmanwafez

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
882
Reaction score
1,364
Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri.

Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya kufikisha miaka 28 wapitie mafunzo ya jeshini kwa miaka miwili...labda tu wawe wameletea sifa taifa lao kupitia michezo

Binafsi kama mwanamichezo niliipenda sana kwa sababu inawapa vijana moralii ya ushindani, sio tu kwenda kwenye mashindano bila malengo yoyote.

Ningependa sana siku moja hii sheria ipitishwe[emoji16]View attachment 853947

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani atakoroma kwa mwenzake sasa kila mtu kamanda?

Acha wengine wawe raia na wengine wawe Manajeshi.
 
Mkiiga hyo sheria muige kila kitu kuwe na vifaa vyote msituambie tununue wenyewe nguo za mazoezi
 
Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri.

Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya kufikisha miaka 28 wapitie mafunzo ya jeshini kwa miaka miwili...labda tu wawe wameletea sifa taifa lao kupitia michezo

Binafsi kama mwanamichezo niliipenda sana kwa sababu inawapa vijana moralii ya ushindani, sio tu kwenda kwenye mashindano bila malengo yoyote.

Ningependa sana siku moja hii sheria ipitishwe[emoji16]View attachment 853947

Sent using Jamii Forums mobile app
ili maandamano ya mange yawezekane ,hapa tunawahakikishia maisha bora kwa kuongeza kilimo cha viazi (chips) na kuku wa kisasa
 
Back
Top Bottom