JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
MKOA wa Manyara sasa umefikisha miaka ingawa sio sana toka ugawanywa kutoka Mkoa wa Arusha.
Kimsingi mkoa mpya unachangamoto nyingi ila sasa Manyara hatupaswi kulia lia tumekuwa
Nataka niwatie moyo kuwa Manyara tuna fursa nyingi ambazo tukizitumia vyema, ipasavyo wananchi tutanufaika
Baadhi ya fursa ninazoziona ni pamoja na ardhi, watu, mifugo, vivutio kama ziwa Manyara, tuna ziwa babati, tuna vilima vya utalii na hata Uongozi makini.
Niseme hizi fursa tukiamua kuzitumia kikamilifu naamini hakika Manyara songs mbele kwa haraka
Sasa niwaambie tatizo kubwa nililoliona kwetu mosi kuna kada ya uongozi ambayo imekuwa kiwazo cha maendeleo yaani wenyeviti wa vijiji
Hii kada idipozibitiwa mapema tutasumbuja sana kwani hawa ndio vyanzo vya migogoro kama ile ya ardhi nk
Migogoro na matatizo mengi ya wananchi ndio inapoanzia wala hawajigusi japo kutatua na kuelekezwa juu kwenda kutatua wakati wao ndio chanzo.
Pili nimegundua baadhi ya wanasiasa nao wamekuwa tatizo kubwa katika kufanya mkoa kutosonga mbele kwa haraka kwa maslahi ya KURA
Pia kuna baadhi ya watumishi wa Serikali nao ama kwa kujua ama kutojua wamekuwa hawawajibiki kikamilifu katika nafasi za na kusabanisha manunguniko kwa wananchi.
Na mwisho wananchi nao wamekuwa kikwazo cha maendeleo kwani wanajua wajibu wao ila hawafanyi kwa maksudi kutaka kushurutishwa
USHAURI WANGU
Kimsingi ili kuondokana na hali hii jibu rahisi ni kwamba kila kada ya uongozi na wananchi watimize wajibu wao
Sheria itumike badala ya kukimbilia kichaka cha kutaka kuelimisha umma kwani elimu iliyotolewa na iliyopo kwa wananchi inatosha japo kuelewa hili ni baya ama zuri
Nimsihi RC Mnyeti Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika hili awe mkali kwani kuna baadhi ya viongozi ni wakaidi kwa kutaka kutikisa kibiriti
Ili tufike asimamie sheria basi naamini Manyara itasonga , niwatakie mjadala mwema...
ASANTENI..