Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

'Life jackets' zinaokoa maisha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya mambo yanavyoenda nchini yanakera sana! Leo nimeona bora nizungumzie kuhusu tozo za fedha za taka taka zinazotolewa na wananchi na wafanyabiashara wadogo haswa ktk halmashauri yangu...
1 Reactions
3 Replies
840 Views
Wenye mamlaka na hili tunaomba mshughulikie kifurushi umenunua tena cha juu kabisa inapofika saa 2 taarifa hakuna eti tatizo la kiufundi lakini unaambiwa angalia kwenye simu tunaomba msaada kwani...
3 Reactions
44 Replies
10K Views
Tafuta Boti ' chakavu ' kidogo kisha ' pakizaneni ' na Wenzako kuzidi kuliko Idadi inayotakiwa kisha nendeni maji marefu / kina kirefu kisha ' jitupeni ' majini na msubirie kuja Kuokolewa ambapo...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za mchana. Gharama ya Usafiri kwa wakaazi wa Changanyikeni kupitia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imenda kutoka Tsh 500/- na kuwa Tsh 1000/- kwa usafiri wa kutumia bajaji bado sijapata...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waliopo Dar, Mwanza, Mbeya n.k na waliosafiri kuanzia jana kutoka maeneo hayo tupeni ukweli wa agizo la waziri Lugola kuruhusu mabasi ya mikoani kuanza safari saa 11 alfajiri, vipi ni kweli safari...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii inatokana na speed inayosomwa kwenye zile spidi rada kukosa nguvu ya kisheria kwa kutotimiza takwa la Sheria ya Vipimo linaloamuru vipimo vyote vinavyotumika kisheria vithibitishwe usahihi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimevutiwa mno na kwaya moja inaitwa Angel City Chorale mbele ya halaiki ya watu kwenye tamasha liitwalo America's got talent, kilichonivutia hasa ni kwamba wameimba kwa kiswahili kwa tune nzuri...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Florida teacher says she was fired for refusing to give students partial credit on an assignment they didn't turn in A teacher in Port St. Lucie, Fla., says that she was fired for refusing to give...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Ni matumaini yangu wote muwazima Wa Afya ,baada ya salaam naomba kujua kile kioo ama kitambaa kitumikacho Kwa waganga Wa kienyeji kuonesha matukio ufanyiwayo na wanga au laana zikusumbuazo za ukoo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
KUPATA MIELEKEO SAHIHI KWA KUTUMIA JUA (See...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Baada ya figisu zilizosababisha local channels kuondolewa kwenye visimbuzi vya kulipia na kuiacha TBC pekee ambayo ilishanichosha siku nyingi, nimepata mbadala ambao ni local channels Za Kenya...
0 Reactions
5 Replies
942 Views
In these ways are defined High quality man: Handsome, has a good career in a full-time job, smart and well-educated, financially rich, never been in any relationship with opposite sex before...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pale kwenye picha ya samaki kile ni kivutio kikubwa kila mtu anayekuja Mwanza atataka apige picha pale.Ile bustani iko vizuri hata wapiga picha wanaitunza vizuri huruhusiwi kukanyaga majani ila...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
_ Kwani si huko ukerewe ndiko walikopata Mbunge, mbona viongozi wa kitaifa wa chadema hawajaenda, wamebaki kubwabwaja kwenye mitandao na vyombo the habari, Je wameshindwa kupeleka mwakilishi...
1 Reactions
3 Replies
820 Views
Sifahamu aliyewashauri TCRA kutenda waliyoyafanya , kama ni mkono wa mtu basi kafanikiwa na hongera zake , Kiukweli pamoja na ving'amuzi vingi kubaki na TBC pekee watanzania hawataki kabisa...
23 Reactions
139 Replies
16K Views
Inauma sana kukuta Gari lililo kamatwa likiwa full tank leo, baada ya kulala kesho yake hukutwa likiwa halina hata tone ya mafuta wakati inasimuliwa pale ni sehemu salama salmini. Tuwaombee tu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwezi wa 7 ilitokea kusambaa kwa video ikionyesha wanajeshi wakiwafunga vitambaa wanawake 2 na watoto wadogo wawili, mmoja wa umri wa miaka kati ya 4 hadi 7 na mwingine mchanga aliebebwa mgongoni...
6 Reactions
54 Replies
6K Views
Tuwe wakweli tu hapa! Idadi kubwa ya watumishi wa umma wanalipwa mishahara ya bure kabisa. Wengi hawana kazi maofisini na wenye kazi hawana outputs nzuri za kimaendeleo kwa waajiri wao! Sioni...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Back
Top Bottom