Ukimya wa Safari za Dreamliner

Ukimya wa Safari za Dreamliner

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,253
Reaction score
10,250
Wakuu Amani iwe nanyi

Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...

Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
 
Niko mikoani hata mimi sijui kinachoendelea INA maana haiendi tena kia na Mza?
 
Wakuu Amani iwe nanyi

Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...

Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Hili limwewe litakuwa limelazwa pale Muhimbili kwani limekuja na magonjwa kibao. Likipata nafuu utajulishwa.

Mwewe lazima kuna kitu anaumwa si bure.
 
Wakuu Amani iwe nanyi

Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...

Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Ukiona kimya kimezidi ujue hapo ipo nchini India
 
Wakuu Amani iwe nanyi

Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...

Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Ilikuwa ni ushamba Wetu tu.tumezoea Sasa si unajua mambo ya kimasikini?
 
Bado ni siri, na atakayetoa siri atatumbuliwa faster.

Lile dege ni pasua kichwa, wakubwa wa ATCL hawalali, linawatesa kimwili na kiakili, kwa sababu kichaa anategemea apewe good feedback kutoka kwa wahusika, lakini hali ya mambo ni ngumu kupita maelezo.

Soon jipu litapasua.
Tujipe muda.
 
Kabla ya kuuliza hilo, hivi hujiuulizi mbona hakuna tena zile blah blah za makinikia?
Hakuna tena updates za mazungumzo, kulipwa matrilioni ya kuweza kununua Noah zetu, hakuna kishika uchumba wala hatma ya makontena.

Kitu imesha back fire...
 
Back
Top Bottom