Hakuna anayekubali kuzaa na mume wa mtu; ikumbukwe kuwa mapenzi ni hisia. Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mme wamtu ... ile mnaendelea kuhudumiana .. mimba.
Unakataa kwamba huyo mume wa mtu humpi taarifa ...
Mimba unambambika mwingine unayempenda zaidi ... mtoto anazaliwa .. majanga (Katoto kanaugua mambo ya ajabu ajabu)
Unaenda kupata ushauri wa kitaalamu, unaambiwa mtoto alompa jina sio baba yake ...
Unamrudia mme wa mtu ili kumnusuru mtoto.
Nimeongea na wazee wengi (wamama kwa wababa) wanasema hilo lipo. Binafsi iliwahi kunitokea ... binti kapata mimba kakurupuka kurudi kwao kijijini pasipo kunambia lolote. Kafika huko kampata mtu fasta akamuoa. Anakuja kujifungua mtoto anaanza kuwasumbua. Kilichofanyia ni kusafiri na mtoto hadi nilipo ili ifanye kama walivyoelekezwa na mtaalam wao.
Mtoto hadi sasa anaendelea vizuri tu.
Imekaaje hiyo!