Kuna uhusiano gani Kati ya mapenzi na mazoezi??

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,679
Reaction score
5,166
Mpaka sasa bado sijaelewa napoambiwa kuwa mazoezi husaidia katika kusaidia wanandoa au wapenzi kudumu katika tendo la ndoa, je ni mazoezi husaidia kuondoa pre nature ejaculate??husaidia uume kusiamama kwa mda mrefuu??

Nachojua mimi mazoezi husaidia kuweka mwili sawa, pumzi basi au kuna vengine.

Nawasilisha
 
Hilo tendo lenyewe mazoezi tosha has a likifanyika ipasavyo
 
K
Mpaka sasa bado sijaelewa napoambiwa kuwa mazoezi husaidia katika kusaidia wanandoa au wapenzi kudumu katika tendo la ndoa, je ni mazoezi husaidia kuondoa pre nature ejaculate??husaidia uume kusiamama kwa mda mrefuu??

Nachojua mimi mazoezi husaidia kuweka mwili sawa, pumzi basi au kuna vengine.

Nawasilisha
POINT ni misuri yenye AFYA.. mazoezi huondoa mafuta katika blood vessels.. hivyo damu hutiririka vizuri na kujaza vyumba katika uume.. hivyo kusimama vizuri

mazoez pia huondoa takataka katika mwili hivyo kuepukana na magonjwa ya mfumo wa damu

mazoezi huongeza pumzi na utimamu wa akili

mazoezi huongeza flexibility.. na unyumbulifu hivyo ile mikao adimu huwa inafikika kiurahisi
 
Proved.... mazoezi huongeza stamina 99% kwenye sex ... pamoja na kuchelewa kuejaculate..... haiwezekani hujawai kimbia mwaka mzima, af unaenda kusex, utafanikiwa lkn sio kwa efficiency kubwa.........lkn ukikimbia kama ulikuwa unaishia mbili unaweza enda mpaka tatu ..nne ndani ya muda mfupi!!!
 
Mpaka sasa bado sijaelewa napoambiwa kuwa mazoezi husaidia katika kusaidia wanandoa au wapenzi kudumu katika tendo la ndoa, je ni mazoezi husaidia kuondoa pre nature ejaculate??husaidia uume kusiamama kwa mda mrefuu??

Nachojua mimi mazoezi husaidia kuweka mwili sawa, pumzi basi au kuna vengine.

Nawasilisha

“pre nature ejaculate” duh!

ivi kuna uhusiano gani kati ya kula na kufanya kazi, nachojua mimi chakula hukupa nguvu na afya au kuna vingine!
 
Ukiwq goigoi ni rahisi kuwa gogo kitandani, ukienda sehemu za mazoezi ukakuta watu wanapata misuli kwa mazoezi sikiliza sauti wanazotoa...... vuta picha wakiwa kitandani.....

Ndo maana wale walimu wa mazoezi hasa gym wanawakula sana wadada. Na wadada walio fit kwenye mazoezi huwa wanatamaniwa na baadae ya wanaume....
Kwichu Kwichu Kwichu kwichu kwichu kwichu kwichu kuanzia saa tatu usiku hadi saa nane usiku hehehehehheee

Mdogo mdogo kama kitorondo

Kasie Mahaba.
 
Hizi gym sometyms ni showoff tu siku hizi nahisi zimevamiwa kwa maana inawezekana ni 10 percent tu ndo wanaenda kwa nia ya kujiweka fit the rest 90 percent wana nia zingine zaidi ya mazoezi take my word
 
Nilipoanza kupiga push ups miaka mi4 iliyopita nimekuwa na perfomance nzuri sana kunako kut.o.mbana,hii pia imesaidia kupata heshima kubwa kwa wife na kwa wale niliopiga nao game za kirafiki.
 
Shkamoo mapipandoo
 
Back
Top Bottom