Waganga toeni masharti kulingana na cheo cha mteja

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,835
Reaction score
140,901
Kusema kweli kuna baadhi ya masharti ya waganga wa kienyeji yanadhalilisha sana. Unakuta mtu ni mkubwa kabisa cheo cha juu anapewa masharti ya kutohudhuria misiba ya nduguze. Unakuta mtu ni bosi mbunge anapewa masharti ya kupiga ndagu ndugu zake na kuwafanya ndondocha. Kijiji kizima kinajua mbunge kafanya ndondocha nduguze

Au unakuta mtu ni bosi anapewa sharti la kuwa mchafuchafu na sharti habadilishi. Waganga boresheni teklojia yenu iendana na hadhi ya mtu.

Kuna watu wanadhalilika sana. Inatokea misiba mikubwa naishia kutuma madogo wakaniwakilishe,sababu ya msingi sina.
 
Napita mkuu, naona umetupa JIWE gizani
 
Hahaa sitaki kuamini kuwa umemgusa mchatle
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainame
 
Mhhh! Afadhali wangemzuhia kufanya mauaji, namkumbuka A. Mawazo, Ben na wengi wengineo!
 
Back
Top Bottom