Mathematically kuna rambirambi zitaliwa msiba wa MV. Nyerere kama hali itaendelea kua hivi.

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
Kwa hesabu zangu tu za kawaida mchanganuo wa rambi rambi mpaka sasa upo ivi:-
mpaka sasa
marehemu ni '225
manusura ni 40~
jumla ya watu wote ni 265 waliokua kwenye kivuko
TUANZE.
- serikali ilitoa laki 5 kwa kila mwili wa marehemu
225 x 500,000= 112,500,000
- ikaje tena ikatoa 1ml kwa kila abiria aliye kuwepo
marehemu: 225 x 1,000,000 = 225,000,000
manusura: 40 x 1,000,000 = 40,000,000
Kwa hivyo Serikali imechangia(112.5ml+225ml+40ml): 377,500,000
Kwa mujibu wa 'TAARIFA YA HABARI "DIRA" YA SAA 10 JIONI LEO TBC 1' mpaka sasa Rambirambi imekusanya imefika 512,000,000
Ukichuka rambirambi ya wasamaria 512ml na serikali 377.5ml jumla ni 889,500,000
Tukifanya rambirambi ya wasamaria wapewe ndugu wa marehemu kila mwili utapata (512,000,000/225)= 2,275,555.56 jumlisha ya serikali 1.5ml = 3,775,555.56
Pia tukisema rambirambi ya wasamaria wapewe wote (512,000,000/265= 1,932,875)
kila mwili wa marehemu utapata(1.5ml+1.9ml) = 3,432,075
Kila manusura atapata (1ml + 1.9ml)=2,932,075
NB:
Ikiwa mgao utaendelea ivi marehemu 1.5ml na manusura 1ml jumla itakua 377,500,000 hiyo basi rambirambi ya wasamaria ni 512,000,000 - 377,500,000= 134500000 itakuwa faida kwao au 512ml zitaliwa na watu maana 377.5ml zimetolewa tayari
SITEGEMEI RAMBIRAMBI KULIWA.
 
kwahizo hesabu halafu hautegemei rambi rambi kuliwa"", kuhusu hilo naomba sahau"... labda jiwe atoe tena tamko" la wahanga kuongezewa pesa nyingine
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mbona hukutoa gharama za kuzamia, chopa iliyomleta kiongozi pale, waziri aliyepiga kambi pale. Usihesabu hesabu za waathirika tu kwa sababu "Hatujaleta hilo tatizo". Hivyo, weka hesabu za hao waliotenda kazi ili kulifanikisha zoezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom