Singa Singa
Member
- Dec 12, 2014
- 47
- 46
Nimekuwa nikijiuliza, Vijana wengi huwa wanasafiri kwenda Jozzy kwa kutumia usafiri wa kuunganisha Mabasi. Hivi nauli huwa ni rahisi kiasi gani ukilinganisha na Ndege maana bajeti huwa kama Laki 2 na unasafiri kwa siku3-5 wakati nauli ya Ndege haivuki laki3 na nusu Unakaa Angani Masaa 5 tu.
Na isitoshe ukiingia Jozzy iwe kwa Ndege au kwa miguu lazima uwe na Ganda(Passport).......Tatizo ni Uoga,Uelewa mdogo au nini Wakuu?
Na isitoshe ukiingia Jozzy iwe kwa Ndege au kwa miguu lazima uwe na Ganda(Passport).......Tatizo ni Uoga,Uelewa mdogo au nini Wakuu?