Mgodi wa kokoto Msikiti wa Lindi Kariakoo ni mali ya TANROADS au MANISPAA?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,059
40,723
Kwa mwenye taarifa juu ya lile shimo kubwa mbele ya msikiti wa Lindi Kariakoo mithili ya mgodi wa mawe, ni mali ya nani
 
Anyway, barabara muhumu kama ya Lindi kariakoo inawezaje kuchwa na shimo ambalo gari ikiingia inazama?
 
Back
Top Bottom