Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu wana jamii wenzangu swala la usafi kwenye daladala,pikipiki,bajaji na kadhalika ..nani atupiwe mzingo??? Napata shida sana kwa baadhi ya hivi vifaa. Tujadili kwa pamoja nini kifanyike??
1 Reactions
5 Replies
824 Views
Umenifanya niingie Library nikakutana na hizi picha Natamani kujua walikuwa wanaumwa nin na ni kwa kiwango gani dawa hii ili wasaidia?? Pia naomba kuwa tambua hawa washiriki hapo chini me...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakubwa shikamoo wadogo wenzagu habari ya mchana, Hatimaye vodacom wameongeza gharama za uni offer maarufu kama vifurushi vya chuo. Kwa kila kifurushi ulichokua unanunua mwanzo now inabidi uongeze...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Watoto wawili wa familia moja wakazi wa kijiji cha Tabaruka wilayani Sengerema wamefariki dunia wakati wakiogelea kwenye kisima kilichopo kijijini hapo. Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Emmanuel...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nimeanza mradi wa kutotolesha vifaranga wa kienyeji kwa kutumia incubator ya umeme lakini hii kitu Tanesco wamenifanyia sitasahau maishani! Nadhani mmenielewa. Naomba kama kuna incubators...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi! Kuna jambo nimeliona muda mrefu na kuna wakati linanishtuaga sana huku nikijiuliza, 'hawa watu wanafikiria nini kufanya hivi?' Ni hili la mabango yaliyopo nje ya shule...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwa wale wamekuwa wakifanya kazi sector binafsi watakubaliana na mimi kuwa fao la kujitoa ilikuwa mkombozi mkubwa kwa vijana. Binafsi nimemaliza chuo 2009 na mwaka huo huo nikakaanza kazi kampuni...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamani nina ushauri tu wakimaisha kwa baadae Ukija kuwa mtu mwenye authority usije ukaanza kuwaonea wanyonge.Adhabu yake ni ngumu sana huwa wanaujua wahusika wanaofanya hivyo vitendo ni ushauri...
1 Reactions
4 Replies
759 Views
Nadhani kichwa kimejieleza kama unawezo huo nicheki ni muhimu mno but make sure una experience ya kutosha nicheki kwenye ....0673 497 715
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kuitikia wito wa Hapa Kazi tu. Wasanii tajwa wanatarajia kuanzisha tv station nchini ili kuonyesha kazi zao
1 Reactions
85 Replies
9K Views
habari wadau.. tupo kipindi cha simanzi baada ya kivuko kuzama.. ajali ya kivuko inasemekana ilisababishwa na watu kujaa wengi kuliko uwezo wa kivuko.. ajali ya Mv bukoba nayo ilisemekana watu...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna Nyumba nyingi zimejengwa na Wakala wa Majengo kule Bunju B,NI nyingi sana ..zimeisha miaka mitatu iliyopita....tatizo ni kuwa nyumba hizi za mradi zimekuwa kama magofu ya Bagamoyo..hakuna...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
By APOLINARI TAIRO Tanzania is facing a biting shortage of chicken that has seen retail prices rise, months after it banned importation of poultry from neighboring countries. Big hotels and food...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
AJALI YA BASI LA KIAZI KITAMU NA LAND CRUISER LA SHILIKA LA KUWAHUDIMIA WAKIMBIZI HUKO KIGOMA Gari ndogo land cruiser ilikuwa inaovertake semi kwenye rough road ilhali vumbi limetanda mbele yake...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Yaani nimeamka hapa,kuna kitu nilikuwa nina shida nacho sana na kwa wakati,lakini nimefanya call moja tu,nasubiri delivery hapa...nishasahau tabu zote za miaka ya nyuma,kuna anayekumbuka adha au...
1 Reactions
2 Replies
876 Views
VIONGOZI WALIOSHITAKIWA Luiz Inacio Lula da Silva, Brazil Lula alipatikana na hatia ya ufisadi na kutakatisha fedha baada ya kuhusishwa katika kashfa ya "Car Wash", mashitaka ya ufisadi ambayo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu nauli ya ndege kati ya Tanzania na uholanzi ni shillingi ngapi,yani namanisha kwenda tu sio nakurudi.Nimepewa assigment hiyo sasa cna wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Si jambo ambalo ndio ninaliona Leo, lakini ni jambo ambalo ninaaandka leo. Nikiwa mtaani asubuhi hii nimewaona wadada wawili ambao wamevaa suruali za kubana kupita kiasi. Nasema kupita kiasi kwa...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linawashikilia baba na mama wa familia moja wakazi wa shehia ya Kiungoni wilaya ya Wete kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wao wa kike mwenye umri wa miezi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom