Kauli thabiti kabisa za awamu ya tano

Kauli thabiti kabisa za awamu ya tano

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
16,051
Reaction score
40,597
Habari wana JF

Nikiwa kwenye moja ya migahawa bora kabisa duniani nikipata lunch natafakari mustakabali wa nchi yangu Tanzania. Najua nyinyi mliopo huko nyumbani kwa saa zenu za Afrika Mashariki mtakua mnapambana na hali zenu kuelekea majumbani baada ya kazi za mchana kutwa. Bila ya kupoteza muda nina waza tu kwa maandishi ni zipi kauli dhabiti za utawala huu wa awamu ya tano?

Mimi nimependa kauli zifuatazo:

1. Wafanyabiashara wadogo wadogo wasibugudhiwe- Muheshimiwa Dr. John Pombe Magufuli;

2. Fyatueni watoto hakuna haja ya uzazi wa mpango- Muheshimiwa Dr. John Pombe Magufuli (rejea Zaburi ya 127);

3. Majambazi yasitupangie muda wa kufanya kazi-Mh Kangi Lugola; na

4. Dhamani zitolewe siku zote hata wakati wa mapumziko ya mwisho wa juma (weekend)- Kangi Lugola;


Povu linaruhusiwa na kuongeza kauli nyingine nayo siyo mbaya
 
'..wanaume oeni wanawake zaidi ya wawili ili kupunguza idadi ya wanawake wanaojiuza..:

..ili mradi tu uwe na kipato cha kutosheleza.!! Mkulu
 
Tutaendelea na zoezi la uokoaji kesho asubuh giza limeingia
 
Back
Top Bottom