Serikali imeidhalilisha miili ya marehemu wa MV Nyerere, kuiweka kwenye Majeneza ya mabanzi

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,114
4,798
Kwakweli sina mengi ya kusema ila kwa majeneza Yale. Aisee sio fair kabisa serikali haijafilisika kiasi hicho cha kutumia majeneza ya namba ile

Ngoja tu tukae kimya tumuachie Mungu maana wenye nchi hawataki tuongee ongee hovyo.
1537853614228.png
 
Kwakweli sina mengi ya kusema ila kwa majeneza Yale. Aisee sio fair kabisa serikali haijafilisika kiasi hicho cha kutumia majeneza ya namba ile

Ngoja tu tukae kimya tumuachie Mungu maana wenye nchi hawataki tuongee ongee hovyo
Ukiuliza utaambiwa kila jeneza ni laki nane, ndiyo maana mimi nimeapa atakayenisogelea kuomba mchango wa maafa nitamzabua kibao hicho mpaka aone nyota na kizunguzungu kabla hajaanguka chini na kuzimia
 
Kwakweli sina mengi ya kusema ila kwa majeneza Yale. Aisee sio fair kabisa serikali haijafilisika kiasi hicho cha kutumia majeneza ya namba ile

Ngoja tu tukae kimya tumuachie Mungu maana wenye nchi hawataki tuongee ongee hovyo
kikubwa tumewahifadhi! Huko kijijini kwetu hayo majeneza yenye madoido hatujayazoea, tungeyajimbua bure!
 
Back
Top Bottom