Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma?

Igangilonga

Senior Member
Mar 11, 2006
133
27
Habari zenu ndugu. Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma?
Pia ninawezaje kusikiliza Upendo FM huku Dodoma?
 
We jamaa.

Clouds Tv mpaka sasa wapo Startimes au kama hujali angalia kupitia App ya PoaTv

Upendo Radio, hii utaipata kicheko.com sijajua kama wana frequency huko.

Kwa sasa ni hayo.
 
We jamaa.

Clouds Tv mpaka sasa wapo Startimes au kama hujali angalia kupitia App ya PoaTv

Upendo Radio, hii utaipata kicheko.com sijajua kama wana frequency huko.

Kwa sasa ni hayo.

KWA DODOMA KATIKA KISIMBUZI CHA STARTIMES HAIONEKANI AU NIELEKEZE NIFANYAJE ILI NIONE.
 
Back
Top Bottom