Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza kuongezeka kwa mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 3.3 kwa mwezi Agosti mwaka huu hadi kufikia asilimia 3.4 kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Miezi miwili iliyopita Serikali ya Tanzania ilitangaza Kuwa makampuni ya kurusha Fta Yaani Star times, Ting, Continental Na Digtek Vitakuwa vinarusha channel 5 za kitaifa Bure Ajabu ni Kuwa Kuna...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Kwa nini pride wanatufanyia haya? Kwa muda sasa pride hapa arusha wamekua hawatoi mikopo.kila siku tunafuatilia akiba zetu lakini ni maneno tu.leo tumeenda wamesema eti turudi baada ya miaka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana tarehe 6/10/2018 ilikuwa ni siku ya kilele cha Tamasha kubwa LA Urithi Wetu lililoandaliwa na kuratibiwa na wizara ya Utalii. Wizara ya utalii ilitanga sana kwenye vyombo vya habari kuwa...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Hundi hiyo imepokelewa Ikulu leo na Rais Magufuli kwa niaba ya Watanzania wote. > Ajali ya #MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba mwaka huu ilisababisha vifo vya Watanzania 229
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Rashid ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto watatu. Wapili alipata scholarship kwenda kusoma nje ya nchi na watatu yuko chuo bado hapa hapa nchini. Engineer Rashid amehitimu masomo yake na...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Aliyekuwa na amani baada ya kipa Beno Kakolanya kuumia na kuingia Kipa maarufu Kindoki katika mechi ya Yanga VS Mbao anyooshe mkono!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar za saiz wakuu juzi kati niliwajuza kuhusu mwalimu alie kamatwa na fedha bandia sas mwingine akamatwa baada ya kununua mabati kwenye duka la vifaa vya ujenzi baada ya kuhojiwa ikaonekana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KATI ya Julai hadi Septemba mwaka huu, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya jumla ya trilioni 3.84 likiwa ni ongezeko la asilimia 5.32 ikilinganishwa na makusanyo ya kipindi hicho mwaka...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale wanaosafiri mikoa ya kusini ni wazi kuwa wanapafahamu Nangulukuru ambapo kuna hotel ya starcom Hii ni sehemu ambayo abiria waendao kusini hupumzika kwa ajili ya chakula na kupata huduma...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Shikamoo wakubwa zangu wote Waziri Ummy Mwalimu na TCRA walipaswa kuwabana EATV wamlipe fidia ya kifedha mtoto wa kichina aliyenyanyapaliwa mtandaoni. Hawa ndio wanyonge ambao Mheshimiwa Rais...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Today is a palindrome date. *8-10-2018.* *8102018* Right to left and left to Right numbers are same. this is a unique day . Palindrome is a word, number or phrase that reads the same...
3 Reactions
2 Replies
913 Views
Kwa hapa Arusha au Kilimanjaro wapi naweza kupata huu mmea wakuu?
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Mkazi wa kijiji cha Ishenta wilayani Ileje Mkoani Songwe ameuawa kwa Risasi wakati Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kuwatawanya wananchi Zaidi ya mia nne waliokuwa wakishambulia gari la polisi...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amefiwa na baba yake mzazi, Elisha Mghwira leo Jumamosi Oktoba 6, 2018. Akizungumza na MCL Digital leo jioni mkuu huyo wa mkoa amesema baba yake alikuwa...
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Mkuu wa Wilaya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa watumishi tisa wa soko la Kwa Sadala la wilayani humo akiwamo mkuu wa soko hilo, Joseph Akyoo kwa tuhuma za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali inakusudia kupeleka mswaada bungeni wa madereva wanaoendesha magari makubwa ya mizigo pamoja na abiria, wawe ni wenye umri wa kuanzia miaka 45 Hayo yameswemwa na waziri wa ujenzi na...
2 Reactions
44 Replies
9K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, waliokuwa wamepanga kwenye nyumba ya kulala wageni mtaa wa Califonia jirani na kituo cha mabasi cha Nyegezi kwa...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Nimejifanyia uchunguzi mimi kama kiumbe na naamini mawazo yanafanana japo ni ngumu kuyajua mawazo ya ndani kabisa ya mtu lakini ukweli ni kwamba mtu amezungukwa sana na kifo yaani. Kwa mfano mlevi...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye kiwanda fulani amenidokeza kuwa mwezi ujao watapunguzwa wafanyakazi . Akaenda deep akaniambia kuwa unajua kuwa Tanzania hakuna kiwanda hata kimoja...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Back
Top Bottom