Kwa wana YANGA!

Kwa wana YANGA!

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Aliyekuwa na amani baada ya kipa Beno Kakolanya kuumia na kuingia Kipa maarufu Kindoki katika mechi ya Yanga VS Mbao anyooshe mkono!
 
Uganda mwaka fulani fainali ya klabu bingwa afrika mashariki na kati aliumia golikipa Steven Nemes Casmir akaingia Riffat Said alidaka vizuri sana tena saa ingine na mkono mmoja
 
Aliyekuwa na amani baada ya kipa Beno Kakolanya kuumia na kuingia Kipa maarufu Kindoki katika mechi ya Yanga VS Mbao anyooshe mkono!
Hiyo amani inatoka wapi? Beno ni goalkeeper bwana
 
Faida 10 za Goli la Ibrahim Ajibu
1. Unaweza kutumia kama Ada ya mtoto shule
2. Unaweza kulipa mishahara ya Kagere, okwi, kichuya na wachezaji 10 wakitanzania
3. Unaweza kutumia kama leseni gari
4. Uondoa chunusi, hasara, tetekuwanga
5. Unaweza kuingia nchi 10 za Africa na 5 za ulaya bila viza
6. Unaweza kuomba mkopo CRDB, NBC, NMB na BOA.
7. Unaweza kutumia kama chumvi kwenye chakula
8. Unaweza kutumia kama dawa ya nguvu za kiume
9. Unaweza kutumia kama mahari ukweni.
10. Unaweza kutumia kama bando LA internet kwa Mwezi mzima mahali popote chini.

Tafadhari Tumia Goli la Ajibu Mara nyingi uwezavyo.
 
Nasubiri mapovu kutoka Mbumbumbu FC
 
Back
Top Bottom