Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Kwa wale wanaosafiri mikoa ya kusini ni wazi kuwa wanapafahamu Nangulukuru ambapo kuna hotel ya starcom
Hii ni sehemu ambayo abiria waendao kusini hupumzika kwa ajili ya chakula na kupata huduma ya choo.
Taarifa iliyopo ni kuwa imeteketea kwa moto leo hii huku chanzo kikiwa hakijulikani
Kwa wageni, Nangulukuru ipo katika wilaya ya kilwa mkoa wa Lindi barabara kuu ya Dar-Mtwara.
Eneo lote limeteketea kwa moto hasa ukizingatia liliezekwa kwa makuti