Pichani ni mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye alikuwa ni mshindi wa BSS miaka kadhaa iliyopita(Huyo Mfupi)
Anaitwa pascal kasiani
Hii Picha alipiga akiwa Mwanza nadhani ni wiki iliyopita
hebu...
Kwanza nawapongeza sana sumatra kazi nzuri wanazozifanya ktk nchi yetu.
kuna kero mmoja imejitokeza kwa sasa ambayo inahusiana na ruti ya daladala itokayo ubungo kwenda kibamba ccm, kufuatia...
Ukeketaji wa wanawake ni utaratibu ambapo viungo vya siri vya wanawake hujeruhiwa au hubadilishwa. Jambo hili linaweza kuathiri sana afya ya wanawake na watoto wa kike katika maisha yao ya baadae...
Kuna watu walevi
Kuna watu wazinzi
Kuna watu wanapenda sana sigara, mpira na pengine kutumia madawa ya kulevya ama mihadarati
Kuna mtu anaishi maisha ya taabu sana
Kuna mtu anaishi maisha ya...
Mzuqa
Kama wengi mjuavyo niko kwenye desperate transition moment ya kuwa millionare kwa LAZIMA yani iyo hapingiki wala haikwepeki strategies zipo nitawaupdate kila mara.
Ni hivi kazi yangu ya...
Jamani Mimi katika maisha yangu nna ndoto kubwa mbili tuu nikitimiza Hizi asante mungu ndoto ya kwanza ni kuhama nchi natamani nikaishi SA,USA,AU au UK pia ndoto ya pili lazma nimiliki range Rover...
Hello wanajf.
katikati ya mwezi wa tisa nlikuja hapa kwa ajili kuomba msaada wa kufungua bima ya afya.na mwitikio ukawa mwema kuna waliohamasisha walionipa pole,ewaliotoa mawazo na walionichangia...
Unanunua vitu vya laki moja mfanyabiashara anakuandikia risiti ya shilingi elfu 10,
Unanunua vitu vya laki 5 unaandikiwa risiti ya elfu 5 kwa namna hii ni kwanini tusiendelee kuwa omba omba...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeagizwa kufanya uchunguzi wa haraka kwa taasisi 30 ikiwamo Benki Kuu (BoT) kutokana na kuwapo na viashiria vikubwa vya rushwa katika hatua za...
Wakuu habari zenu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi.
Wakuu nina shida sana, nimepatwa na matatizo, nina hitaji msaada wenu wa kifedha. Nina shida na shilingi laki moja.
Mimi ni...
wakuu nina laini ya tigo haisomi mnara wa data nimeseti APN fresh lakini haionyeshi EDGE, 3G, H wala H+ nimejaribu kuweka kwenye simu nyingne[tecno na Samsung] bado imegoma na nimewapigia Tigo...
Wasalaam !
Kwa wiki mbili mfululizo ushiriki wangu ulikuwa hafifu hapa mahali petu. Kiukweli ni kwamba nilipatwa na nikaumwa hasa. Sikujaribu tiba yoyote ya hospital wala kienyeji bali natural...
Habari ya jioni wanajamvi.
Najiuliza tu hivi ikitokea sisi wafrika yani ngozi nyeusi Mungu akatuinua kiuchumi hivi tutaweza kweli hata kuwapa misada wenzetu wazungu kama wao wanavyotufanyia...
Wote ni mashahidi, mtakumbuka miaka ile kabla ya tochi za trafiki barabarani, jinsi mabasi ya Ngorika yalivyokuwa yanakimbia na kujizolea sifa kubwa kwa njia ya Dar-Arusha.
Ilikua unatoka Dar saa...
Nilikuwa na shida sana,sana,sana,baada ya kupata mchongo wa nyumba (mtu anauza nyumba yake) kwa bei ambayo kwa kweli niliona ni affordable, nilikuwa na kiasi kidogo,hivyo nikahitaji assistance ya...
Nimejaribu kujiuliza hili swali na sikupata jibu, kwanini tunasoma muda tofauti na inabyosemaka katika saa, kwa mfano:
Saa 12 = 6
Saa 8 = 2
Saa 11= 5
Wakati kwa kingereza na lugha zingine unasoma...
Katika picha hizi nimeangalia kwa makini nikaona kuna watu mara mbili, kuna anayetukuzwa na kuna anayetukuza, kuna anayeheshimu na mheshimiwa,
Cha kushangaza umri wa wanaoheshimiwa ni mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.