Kila siku lazima ufikirie kuhusu kifo chako

Kila siku lazima ufikirie kuhusu kifo chako

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,402
Nimejifanyia uchunguzi mimi kama kiumbe na naamini mawazo yanafanana japo ni ngumu kuyajua mawazo ya ndani kabisa ya mtu lakini ukweli ni kwamba mtu amezungukwa sana na kifo yaani. Kwa mfano mlevi yoyote amejawa hofu kwamba anakunywa ndio lakini anajua kabisa kuna chance ya yeye kuugua figo, ini n.k.

Mvuta sigara anajua kabisa zitamuua lakini kwanin wanadamu tunakuwa speed kukitafuta kifo? Tutakutana nacho unachokitafuta nakwambia utakipata tu na siku hio ujilaumu mwenyewe! Tuokoke jamani ili tuingie kwenye tunnel jipya. Uta circe hauta escape.
In god we trust

Badili tabia to win the game
 
neema ya Mungu ni kubwa mno na ametuumba ili tuishi haidhuru tunafanya nini na wapi, Neno lake halizuiliki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom