Habari zenu ndugu zangu, napenda kufikisha kero zangu kwa uongozi wa Equit bank tawi la mwenge kwa wafanyakazi mjirekebishe maana mmezidi uvivu na kutegeana, kazi kama wafanyaka ni wachache...
Habari wana JF, nimekuja morogoro kuna eneo nimenunua huku tungi,,nimeanza ujenzi wakuzungushia ukuta kwanza ili kulinda eneo, maji ya kujengea nilikuwa nachota kwenye bomba la jirani kwa...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jinsia na Watoto amesema kuwa watu hao wamekamatwa baada ya Jeshi la Polisi kufanya msako
Uchunguzi sakata hilo bado unaendelea na utakapokamilika Watuhumiwa hao...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema changamoto ya upatikanaji wa ajira hususani kwa vijana imeanza kupungua nchini baada ya viwanda vingi kuanza kufanya kazi.
Majaliwa aliyasema...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imewafikisha zaidi ya watu 12 Mahakamani kwa makosa 404 likiwemo la kuisababishia Serikali hasara zaidi ya Tsh Mil 500 mali ya Mamlaka ya...
Share uzoefu wako, wapi uliwahi kushuhudia huduma mbaya kabisa kama mteja. Je uliwahi kujutia huduma kama mteja, hii inalenga kwebye sehemu za biadhara kama hotel, bar, duka, saluni,
Sehemu...
Katika hali ya kawaida, tunafahamu kuwa waumini wa dini ama Uislamu au ukristo na kama si uyahudi hawa watu huwa wana uchamungu wa dhati kabisa yaani kutoka moyoni mfano akitokea mtu anataka...
Mh. Rais JPM amemwapisha Skauti Mkuu Bi Mwantumu Mahiza Ikulu , Dsm!
Sikujua kama Skauti Mkuu ni cheo kikubwa kiivo.
Hongera Bi. Mwantumu Mahiza, kachape kazi.
Niliwahi kusoma mahali mtu akichangia mada fulani kuwa kila wiki kuna gulio la kununua watu toka mashamba ya fikra kinzani.... Kinzani kwa hoja si viroja...!!!
Kwanini mtu huyu alitumia gulio...
Baadhi ya maeneo ya nchi ya Cameroon yapata tatizo la kukatika kwa mawasiliano
> Matukio haya yametokea ikiwa taifa hilo linaelekea kwenye uchaguzi na kuzua hofu ya kuzimwa kwa Mtandao siku ya...
The ruling class must help all our young people to understand that ours is still a very poor country, that we cannot change this situation radically in a short time, and that only through the...
Namaingo ni Kampuni inayolea wajasiliama wanaojihusisha na kilimo na ufugaji wa kibiashara.
Makao makuu ya Namaingo yako Ukonga Magereza Jijini Dar es Salaam, ina wanachama16,000 katika mikoa...
hadi leo jumla ya wabunge wa chadema waliojiuzulu ubunge na kurudi ccm kutoka kabila la maasai ni wabunge takribani wa3.Hili tu linatosha kabisa mimi kuhitimisha kuwa hatuna msimamo ktk maamuzi...
Nimepata taarifa kuwa ommy255 hapatikani toka Ijumaa usiku.
Mtoa taarifa anasema haonekani nyumbani, kwa marafiki wa karibu, kwa majirani, simu haipo hewani.
Kwamba kwa mara ya mwisho alipost...
Samahani kama nitakuwa nimekosea ila nahoji kama kisomo cha albadir kinaweza tenguliwa..yaani yale manuizi kuyaondoa..
Nasema hivi sababu nahisi kinachoendelea chadema si kitu cha kawaida na...
Heading Yangu imeweka angalizo ili kuepuka kuharibu biashara za watu.
Lengo la mada hii nataka sote wacheza kamari tuijadili
Hii kampuni ya TatuMzuka.
Wanadai kuwa kila ushindi wa Jackpot...
Una kuta mdada mzuri kwa sura lakini kila kukicha yeye ni kulia lia na kulalamika mitandaoni kuwa almasi hajawahi kumsaidia pamoja na kumuomba msaada.
Najiuliza mdada kama huyu kabarikiwa kuwa...
Nchi hii sasa tumefikia kiwango cha JUU kabisa cha UBAGUZI, ndani ya Chato hakuna anayesumbuliwa na unaweza kubeba kiasi chochote cha samaki unaowataka....lakini ukitoka hiyo himaya ya Jiwe...
Habari wakuu, naomba msaada wa kupata mawasiliano na mhariri wa gazeti la uhuru lengo ni kuwasiliana naye kupata nafasi ha kuandika makala zangu katika gazeti hilo. Tafadhali mwenye mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.