Jina lake unaitwa salvia divinorum(msalvia)Huu ndo ule unauchachu chachu fulani hivi sijui ni Dawa ya nini hii
Sijui kama unatumika kwa kazi hiyo mkuuNi ule mchungu sasa unaotumika kama dawa ya tumbo na zongo?
[emoji23][emoji23]hapana mkuu bangi nisingeuliza maana zipo Tanzania nzimaNimekuja mbio nikajua bangi
Hata mimi nilishauona kule home kipindi cha nyuma sana ila siku hizi umekuwa adimuUpo moshi sana....nenda moshi tu mzee vijijini upo wa kumwaga!
Hebu upige picha tuone kama ndio wenyewe kakaNinao nyumbani kivule dsm
Sawa mkuu.[emoji23][emoji23]hapana mkuu bangi nisingeuliza maana zipo Tanzania nzima
Duh! Hii tena mpya! Ngoja na mimi nianze rasmi harakati za kuusaka,hakuna biashara inayolipa kama ya kufyetua akili za watu!Sijui kama unatumika kwa kazi hiyo mkuu
Naujua tu kuwa ni moja ya madawa ya kulevya ukitumika kwa njia kuvuta
Duh kumbe kuna Mzee mmoja wa kipare alikuwa amepanda nyumbani kwake alisema ni DawaSijui kama unatumika kwa kazi hiyo mkuu
Naujua tu kuwa ni moja ya madawa ya kulevya ukitumika kwa njia kuvuta
Huu si ndio unaitwa mmombo kwa Kichagga?Hata mimi nilishauona kule home kipindi cha nyuma sana ila siku hizi umekuwa adimu
Huu sio mmombo?Marangu tunauuta SONYO
Wanavuta sana wazee
Una stimu kali kuliko bangiDuh! Hii tena mpya! Ngoja na mimi nianze rasmi harakati za kuusaka,hakuna biashara inayolipa kama ya kufyetua akili za watu!
Aisee! Kumbe Marangu upoMarangu tunauuta SONYO
Wanavuta sana wazee