Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano...
92 Reactions
529 Replies
53K Views
Hizi story ni za washkaji ambao wamekwishajichnganya kwa hawa jamaa kwa maana mamwela. Wenyewe wanakwambia wakikamatwa na POLISI kwa mahojiano wakiambiwa wanapelekwa STAKISHARI wenyewe wanakuwa...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Naishi Dar es salaam, kwa sasa najiandaa kuhamia Dodoma kikazi!Bajaji nayoiuza ipo katika ubora imetembea miezi saba tu, kama utahitaji nicheki kwa no hii 0714811185! Asante!!!
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hai. Wanafunzi 17 wa shule za sekondari wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamekiri kulawitiwa, huku baadhi ya wazazi wakisema walifanyiwa kitendo hicho Septemba 28, siku ya mkesha wa mwenge...
3 Reactions
126 Replies
25K Views
habari.. Najua wengi tunajua vita ya ufisadi unavyopigiwa kelele miaka kadhaa sasa.. Hapa nimesikia redioni kuna watumishi wa halmashauri geita wamefisadi bilion 2 juzi tu... Nikakumbuka hii...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mtu mmoja amefariki na wengine 6 kujeruhiwa baada ya kugongwa na lori liliobeba saruji katika mteremko wa kuelekea Kibaoni Tegeta baada ya kufeli breki likitoea kiwanda cha Wazo Hill .
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Alipoingia madarakani mwezi November 2015 Magufuli alitimua wakurugenzi kibao wa mashirika na taasisi za umma. Alikuja na kasi kwelikweli huku akiwatuhumu kwa uzembe, rushwa na ubadhilifu. Mapema...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalam wakuu, Kipindi nipo JKT nilikua nasikia kuhusu ''officer cadet officer cadet'', ila sikuweza kupata taarifa zaidi kuhusu hii kitu zaidi ya kujua kwamba wanaenda kozi miezi 9 basi...
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Yaani hata kama: - Ng'ombe wa mtu wameibwa na kupitishwa barabarani, halafu - Then baada ya muda ng'ombe wengine wa mtu yeyote wanaweza kupitishwa tu, - Lakini miguu ya ng'ombe walioibwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tuko hapa jangwani tumekaa kwenye folen kama nusu saa, hivi lengo la hawa watu nini ? watu tunachelewa kazini bila sababu. mana cjaona hata abilia aliyeshushwa kuonyesha kwamba gari imezidisha abilia
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati wadau wengine wakiminywa kuzimishwa. Media ( Waandishi binafsi zaidi) muhimili muhimu sana,Wasaidieni Watanzania Kuna mtu kalewa madaraka ,misifa na Ushamba ana mapesa mengi hajui ayatumie...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Salamu wana jf! Naandika ujumbe huu nikiwa njiani kurejea Dar es Salaam kutokea Kigoma ambapo nilikaa kule kwa wiki 2 nikiwa na safari za mara kwa mara kati ya Kasulu na Kigoma mjini...
0 Reactions
5 Replies
714 Views
MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuwa ndio mkoa ulioongoza kwa kuzalisha taka miongoni mwa mikoa yote ya Tanzania Bara. Mkurugenzi wa Taasisi ya Nipe Fagio walioratibu tukio la Siku ya Usafi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mzuqa Ni kweli yuko huru mchezaj wa zamani wa simba na mbeba boksi sweden Joseph "Golota" Kaniki ambaye alifungwa Ethiopia kwa kubeba madawa ya kulevya. Nimemuona kwenye FB yake Kaniki Joseph...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
MV Sabasaba Taarifa kutoka ITV inasema abiria wanaotokea Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe, wamegoma kupanda Vivuko vya MV Sabasaba na Mv Ukara kwa madai kuwa ni vibovu. Abiria hao wametishia...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Niliwahi mpeleka mwanangu hospitali X, alipopimwa alikutwa na malaria, daktari alimwandikia sindano 9 za quinine. alipokuwa amekwisha chomwa moja hospitalini hapo niliomba dawa pamoja na maelekezo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi akizungumza na Wanahabari kuhusu agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola kuhusu Wananchi wanaokamatwa kupewa dhamana siku za mwisho wa wiki (Weekends) amesema...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
KANISA la Babtist Tanzania limeshauri Serikali kuchunguza utitiri wa madhehebu ya dini na wahubiri nchini, kama wana usajili na vibali halali. Makamu Mwangalizi Mkuu wa Makanisa ya Baptist...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio za Rotary Dar, Catherinerose Barretto (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika jana (Oktoba 02, 2018)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyangh’wale mkoani Geita, Carlos Gwamagobe na watumishi wengine watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Geita kwa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom