MWANZA: Majambazi wawili wauawa katika majibizano ya risasi na Jeshi la Polisi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, waliokuwa wamepanga kwenye nyumba ya kulala wageni mtaa wa Califonia jirani na kituo cha mabasi cha Nyegezi kwa lengo la kufanya uhalifu.

Chanzo: ITV
 
Hongera jeshi la polisi,malipo ya ubaya ni ubaya.
 
Wamedhibitishaje malengo ya walio uawa kuwa walitaka kufanya uhalifu, inawezekana wamesingiziwa hawa, na adhabu ya kutaka kufanya kosa/ jinai sio kuuwawa kwa mujibu wa sheria zetu, chombo pekee chenye mamlaka ya kumtia MTU hatiani na kumuadhibu ni mahakama
 
Kuwarushia policcm risasi ni kosa ki sheria
 
Back
Top Bottom