msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 475
- 358
Miezi miwili iliyopita Serikali ya Tanzania ilitangaza Kuwa makampuni ya kurusha Fta
Yaani Star times, Ting, Continental Na Digtek Vitakuwa vinarusha channel 5 za kitaifa Bure
Ajabu ni Kuwa Kuna baadhi ya makampuni moja wapo ya makampuni hayo Continental Kukiuka agizo la Serikali
Na kuzifunga channel zote tano ambazo ni HAKI yetu Walala hoi kuzipata
Naiomba Serikali Ifanye uchunguzi kisha kuishushia adhabu Kali kampuni ambayo inaenda kinyume na matakwa ya Serikali Ili iwe fundisho Kwa wengine
Ama kweli vya Bure havidumu.