Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ni kama wiki tu limepita rafiki yangu kaka angu mmoja kwa jina namhifadhi alipopatwa na mkasa huu. siku ambayo kulikuwa kuna mvua mvua akiwa kapungia teksi njiani akiwa ana mpango wa kwenda...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi kile tuko chini ya utawala wa Mheshimiwa Jakaya Kikwete bunduki za wapinzani zilitumia risasi zifuatazo kumjeruhi baba LIZI WANI WAPINZANI ENZI ZA KIKWETE 1. Rais gani anacheka...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Sio kila wivu ni mbaya kuna nyivu zinazoleta faida na kuna nyivu zinazoketa magonjwa ya moyo na kadhalika. Hatimaye wakenya wamefanikiwa kuwa na usafiri wa ndege moja kwa moja kutoka...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Kadri zinavyokwenda watoto wachanga wanaofungwa vitambaa vyeusi mikononi wanaongezeka, wengine wanavyaliehwa kiunoni na baadhi shingoni. Unakuta mtoto Mdogo mzuri na alizaliwa na wazazi wasomi...
5 Reactions
123 Replies
15K Views
Hali ikoje kwenye mabasi yaendayo mikoani? Naomba makonda awe makini sana yawezekana kati ya majina yanayotumwa kwake asiambulie kumkamata hata mmoja . Mwisho wa siku zoezi litakwama tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Gari inapokuonesha ishara kwa kutumia taa au Konda, kuwa unakwenda? Ni vizuri uoneshe ishara ya kukataa au kukubali kwa ishara ya mkono au kwa sauti kama ipo karibu.. Kimsingi ni UJINGA au...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa. Nimetembea maeneo mengi nchini na kukuta watoto wadogo wakiwa na vitambaa vyeusi mkononi au shingoni. Hii ni kwa vijijini hadi miji mikubwa. Nikiuliza wakinamama hawatoi...
5 Reactions
88 Replies
12K Views
Ama kweli kazi ya Rabuka haina makosa. Humpa amtakaye na kumnyima mwingine. Nchi nzuri amezipa viongozi wabaya na baadhi ya nchi mbaya kazipa viongozi wazuri. Mfano ni mama Hillary Clinton. Watu...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana msg zilisambaa kwa wastaafu zikionyesha wamewekewa pensheni zao toka mfuko wa PSSSF. MY TAKE: Jiandae kisaikolojia kuyahimili maumivu na matatizo ya malipo! A basket fund for "somebody" to...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya Airways has marked a great milestone with the launch of a non-stop flight from Nairobi to New York. The national carrier starts selling today tickets for the inaugural flight which is...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amewapa miezi miwili watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo wanaoishi mjini Iringa wawe wamehamia katika...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Ni kitengo cha wababaishaji ndivyo unavyoweza kuiita hifadhi ya jamii nchini. Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa. Blabla...
11 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari Wajumbe, Nlikua nahitaji msaada kuhusiana na kupata building permit mana nlikua najenga vibanda vyangu vya uhani nikaambiwa na Serikali ya Mtaa kua yabidi niwe na kibali. Nahitaji msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*#UFUATILIAJI* ~ Tarehe 12/10/2018 nilitembelea mradi wa maji Mihambwe na kujionea ulivyosimama kufanya kazi kwa Takribani miaka miwili (2) na kuhaidi kuufanyia kazi. ~ Tarehe 19/10/2018...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Huyu bwana ni kiongozi wa Taifa fuani ambapo nimesoma habari zake kuhusu namna anavyochukulia masilahi ya watumishi katika nchi yake, na nimepata picha huenda watu anaowaajiri katika makampuni au...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naandika hii post nikiwa nina mahind yangu kwenye ghala tangu nimevuna mwez wanee mkoan,singida nashindwa kuuza bei ipo chini mahindi yapo bei yake kwa kilo 100 ni elfu 24,000 maeneo mengine had...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Katika pita pita zangu katika hii miradi mikubwa ambayo zabuni hupewa wachina au nchi yoyote ile apart from Tanzania sijawahi kubahatika kuona engineers wanawake... Sisemi kwamba hawapo ila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na hii tabia ya waTz walio wengi ama wabongo ambao mim hupendelea zaidi kuwaita bongo wazi kupenda kuficha umri halisi kwa kutaka kutambulika kama wenye umri mdogo...
12 Reactions
207 Replies
19K Views
Kanisa la Full Combat Jerrycan ni kanisa linalohudhuriwa na walevi katika kijiji cha California mjini Lodwar, kaskazini mwa Kenya. Kanisa hili ambalo ibada hufanyika chini ya mti, waumini wake...
1 Reactions
2 Replies
951 Views
Nilipoisoma sikuvumilia kutotatizika akili yangu Nimeumia! Nimeona tukio hili la kushtua la Mang'ula, Morogoro. Polisi walienda nyumbani kwa mtuhumiwa wa ununuzi wa kitanda cha wizi, wakamkosa...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom