Naomba kujua hali ya utafiti wa mabasi ya mikoani hapo dar es salaam ukoje kwa sasa kufuatia zoezi la makonda la kuwakamata wazee wa gizani.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Hali ikoje kwenye mabasi yaendayo mikoani?

Naomba makonda awe makini sana yawezekana kati ya majina yanayotumwa kwake asiambulie kumkamata hata mmoja .



Mwisho wa siku zoezi litakwama tu, biashara ya gizani ni ngumu kuithibitisha kwa macho , labda wawepo madaktari wa kufanya kazi hiyo.
 
Hivi hapo kwenye kichwa cha uzi na uliyoyaandika ndio kazi yenyewe ya Fasihi au mimi ndio Bolizozo nisiyeelewa?
 
Back
Top Bottom