Wanawake ma-engineers katika miradi

Wanawake ma-engineers katika miradi

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
1,051
Reaction score
1,845
Katika pita pita zangu katika hii miradi mikubwa ambayo zabuni hupewa wachina au nchi yoyote ile apart from Tanzania sijawahi kubahatika kuona engineers wanawake...
Sisemi kwamba hawapo ila binafsi sijawahi kuwaona, kwa mfano huu mradi wa flyover ya ubungo naishia kuona wachina wa kiume tu, sijawahi kubahatika kuona wachina wanawake wapo site wakisimamia kazi kama wachina wa kiume. Je ni mfumo dume kwamba wachina wanawake hawapewi kipaumbele katika miradi kama hiyo?!
Pia katika haya makorokoro ya kichina, wote ninaoona wanazunguka na magari kuchukua hela ni wachina wa kiume tu. Inamaana haya mataifa makubwa ya nje yanayokuja nchini kwetu hayadhamini gender equality au wanawake hawawezi kusimamia miradi mikubwa mikubwa kama ya standard gauge, flyovers etc?!
Ni maoni yangu, nawasilisha
 
Kwani wao hao wanawake wa hayo mataifa uliyoyalenga ikiwemo na China wamelalamikia huo utaratibu? kama wao hajalalamikia huo utaratibu manake ni kwamba wao wameridhika na wameridhia kifupi wao wanajiskia furaha wakiwa ndani ya huo utaratibu wao wanachojali ni kukazwa vizuri kunako 6*6 hayo mengine ni yetu sisi huku black people.
 
Wakati dunia kwa pamoja ikiwa inapambana kwa hali na mali kuondoa gender inequalities, hizi nchi kubwa ilipaswa ziwe mfano wa kuigwa... Sasa iwapo sisi developing countries tunapoona wao wenyewe wapiga kelele hawadhamini equality means hata sisi hatutajisumbua. Kukazwa sio hoja ya msingi bali ni vile ambavyo tuna mtazamo hasi juu ya uwezo wa wanawake duniani kote
 
Back
Top Bottom