Maji yaanza kutoka tena Mihambwe

Maji yaanza kutoka tena Mihambwe

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
*#UFUATILIAJI*

~ Tarehe 12/10/2018 nilitembelea mradi wa maji Mihambwe na kujionea ulivyosimama kufanya kazi kwa Takribani miaka miwili (2) na kuhaidi kuufanyia kazi.

~ Tarehe 19/10/2018 nilifanya kikao na Wanakijiji cha Mihambwe ikapatikana kamati mpya ya maji pamoja na Mwendesha mitambo mradi wa maji Mihambwe.

~ Tarehe 30/10/2018 nimetembelea kituo cha kuuzia maji cha Mdenga kilichopo kijiji cha Mihambwe na kujionea maji yakitoka. Mradi wa Maji wa Mihambwe uliokufa kwa takribani miaka 2 umefufuka ndani ya wiki 2 tu na kuanza kufanya kazi vyema. Hivi sasa Maji yanatoka.

- Gavana Emmanuel J. Shilatu
Afisa Tarafa Mihambwe

#Utekelezaji
#uongoziunaoachaalama
#MihambweMpya
#hapakazitu
IMG_20181030_195343_466.jpg
IMG_20181030_195343_457.jpg
 
#hapakazituView attachment 916422View attachment 916424
Poor na vyoo jee katika shule zako bado ni vya matundu ya shimo?
 
Maji ya kupigia picha!!! Bwakyakyakyahahaa
 
Kwa kweli nisiwe mnafiki kwenye hili swala la maji raisi magufuli anastahili pongezi za dhati sana jamani ubungo tumeteseka sana tumenunua maji mno lakini Sasa kila nikiamka nafungua Bomba maji yanamwagika

Magufuli ubarikiwe sana Hawa walanguzi wangetumaliza
 
Ubarikiwe sana kwa kuwa Mzalendo
 
Very interesting karibu miaka 60 baada ya uhuru leo unashangilia maji ya bomba wewe ni wa kuonea huruma.
Ulishaona wapi Watu wanashangilia maji ya kisima? Akili yako imekosa hoja ya kukosoa, acha Watu wachape kazi
 
Back
Top Bottom