Huyu bwana hata kama ana makampuni au biashara zake binafsi, ni wazi wafanyakazi atakuwa anawalipa mishahara midogo sana!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Huyu bwana ni kiongozi wa Taifa fuani ambapo nimesoma habari zake kuhusu namna anavyochukulia masilahi ya watumishi katika nchi yake, na nimepata picha huenda watu anaowaajiri katika makampuni au biashara zake (kama anazo) anawalipa mishahara midogo sana na haki zao zingine sijui kama hata anawapa.

Natamani kumtaja ila wacha nimuhifadhi ili kumpa muda kuona kama atajirejebisha huko mbeleni ila kiukweli mpaka sasa ameshaonyesha kutojali kabisa maisha ya watu wake.

Cha ajabu, kiongozi huyo kuna mambo mengine anafanya ambayo yanatumia vibaya fedha za watu anaowaongoza lakini haonekani kujali kabisa kwasababu anayoyafanya ni kwa masilahi yake lakini anasahau kuwa ayafanyayo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Wacha tuendelee kumtazama mradi siku zinaenda.
 
Jambo jema ni kwamba unahangaika na kuandika upuuzi mwenziyo yupo na anakuongoza wewe na ukoo wako wote na fyoko huna!
 
Huyu bwana ni kiongozi wa Taifa fuani ambapo nimesoma habari zake kuhusu namna anavyochukulia masilahi ya watumishi katika nchi yake, na nimepata picha huenda watu anaowaajiri katika makampuni au biashara zake (kama anazo) anawalipa mishahara midogo sana na haki zao zingine sijui kama hata anawapa.

Natamani kumtaja ila wacha nimuhifadhi ili kumpa muda kuona kama atajirejebisha huko mbeleni ila kiukweli mpaka sasa ameshaonyesha kutojali kabisa maisha ya watu wake.

Cha ajabu, kiongozi huyo kuna mambo mengine anafanya ambayo yanatumia vibaya fedha za watu anaowaongoza lakini haonekani kujali kabisa kwasababu anayoyafanya ni kwa masilahi yake lakini anasahau kuwa ayafanyayo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Wacha tuendelee kumtazama mradi siku zinaenda.
Huyo ni mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima wafanyakazi wake wanalalamika hawslipwi mishahara!
 
" Natamani kumtaja ila wacha nimuhifadhi
ili kumpa muda kuona kama atajirejebisha "
Usitegemee atajirekebisha, he is dracular, he feeds on human blooa, he eats on human flesh.
 
Uliona wapi ngozi ya kenge kubadilika,
" Natamani kumtaja ila wacha nimuhifadhi
ili kumpa muda kuona kama atajirejebisha "
Usitegemee atajirekebisha, he is dracular, he feeds on human blooa, he eats on human flesh.
 
Wewe bwana ni mmoja wa watu hatari kwenye usalama wa nchi mimi kama mwanaharakati huru subiri nikuongeze kwenye list ya watu hatari kwa usalama wa nchi
Sorry mkuu we ndo yule jamaa uliyelipiwa mahari na mzee wa Msoga?!
 
Back
Top Bottom