Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Neno Dunia,halina tofauti sana na neno Gunia, ni Herufi moja tu iliyotofauti na mwenzake D G Dunia Mwanzo wake ni mchungu na mwisho wake ni mchungu Maisha yako,yamezunguukwa na Machungu...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Naomba kujua namna ya kufungua account ya NMB kuptia simu pia jinsi ya kumiliki account moja, watu zaid ya mmoja......
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Baada ya kuunganisha mifuko minne ya hifadhi ya jamii Serikali imetoa kanuni mpya zinazozuia fao la kukosa ajira. Kwa mwanachama atakayeachishwa kazi, kanuni zinasema atalipwa fao...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
30 Oct 2018 Dar es Salaam, Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dsm Bi.Sophia Mjema amewataka watumishi wanaowahi kutoka Ofisini pindi inapofika saa 9 alasiri waache tabia hiyo, badala yake...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Salama wote Leo napenda niongelee japo kwa ufupi sana kwa namna gani Tanroads ndio chanzo cha foleni Hasa dar yenye magari mengi. Sababu ninazo zitoa zinamwelekeo wa kiufundi hasa katika design...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
RC HAPI APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI MRADI WA MAJI PAWAGA-IRINGA Mkuu wa Mkoa wa Iringa ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wahandisi wote waliomdanganya kuhusu taarifa za mradi wa Maji wakati akiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muheshimiwa waziri kuna jambo linakela sana,mtu anavuta sigara uku anatembea,anawaambukiza wengine magonjwa pasipo sababu,tunaomba kuwe na sheria kali zidi ya wanaovuta sigara wakiwa wanatembea...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza poleni kwa matokeo ya Stars ya jana huo ndo mpira nao wakija kwetu tutawapiga tu hamna namna. Nikiri nina zaidi ya mwaka na nusu tangu niondoke Arusha , sasa nipo Arusha nimeshangazwa na...
5 Reactions
112 Replies
20K Views
Hello JF, Vyakula kama mchele,unga wa mahindi/ wa ngano/ugali na makande.. Ndio vyakula vyetu, ila hivi vyakula vinatuua taratibu, Vinasababisha unene na magonjwa ya moyo /kisukari...
4 Reactions
107 Replies
8K Views
Wakuu hamjambo,, Mimi niko mkoani Mbeya, nimejifunza kitu kimoja kwamba tunapaswa kuzifanyia utafiti habari tunazozipokea kutoka vyanzo tofauti. Jana nilipokea simu kutoka kwa ndugu mmoja ambaye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Serikal ya JPM imetenga zaid ya bilion 6 kuchimba visima na kusambaza maji kutoka ziwa victoria wilayani Chato mkoani Geita Source: ITV ======= Serikali imetenga fedha zaidi ya...
3 Reactions
199 Replies
21K Views
Jana usiku tulikuwa kwenye sherehe ya Harusi pale Isamilo Lodge. Ilipofika muda wa saa tano na nusu ghafla umeme ukakatika. Nilitumaini kwa hadhi ya hoteli kama ile kungekuwa na jenereta ya...
4 Reactions
42 Replies
9K Views
Wana jamvi, Naomba tutafakari kauli hizi za RC Antony Mtaka na waziri MWIJAGE walizozitoa ziku ya kufunga Maonesho ya SIDO mkoani Simiyu 28/October 2018. *RC MTAKA:* Profesa Bisanda alituambia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naam, yamefanywa mengi na mwenye mkoa wake bwana BASHITE. kuanzia kutafutwa wauza unga mpaka watoto waliotelekezwa na wazazi wao. lakini haya yote hatupewi mrejesho wa mafanikio yake. limekuja la...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Jamani huku mtaani hali tete sana, 1. Biashara imekuwa ngumu sana, mauzo yameshuka kwa zaidi ya 60% 2. Kuna watu wanapita bila huruma wanadai kodi za halimashauri (services levy) Naomba kuuliza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kulikuwa na duka Kuubwa la Vyakula na Vinywaji katika mji. Panya Wengi waliishi katika duka hilo la vyakula na vinywaji. Chakula kilikuwa ni kingi sana kwa ajili yao. Walikula kila kitu na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume hiyo kuanzia leo Oktoba 30, 2018 Prof. Moshi ni Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Chama cha Mapinduzi ccm kata ya Themi,Mkoa wa Arusha kimepata pigo kufuatika kifo cha Mwenyekiti wake wa Mtaa Polisi line, Dionis Msele aliyefariki dunia oktoba 23 mwaka huu jijini Dar es salaam...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
JIJI LA TANGA NA MKOA WAKE KWA UJUMLA MCHAWI WAKE NI NANI? Ukiwa hujawahi fika katika mji huu ukisikia stori zake unaweza kuvutika hasa katika mpangilio wa barabara, suala la kusadikika la...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Gari linaloendeshwa kwa nguvu za umeme, kwa mara ya kwanza limetua nchini Tanzania. Litakuwa likitumika kwa shughuli za kitalii kwenye Hifadhi ya Taida ya Serengeti. Gari hilo halitakuwa na kelele...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom