Mimi na wewe kijana mwenzangu, maisha ya saizi ni kama tunavyoona kila kona kumejaa uchafu mbalimbali pendwa kwa vijana.. Babu na Bibi zetu walikua wakitumia muda wao kutupa hadithi mbalimbali...
Mtaalamu wa Kilimo Biashara mkoani Mbeya, Robart Mwaluseke amewataka wakulima kuacha mazoea ya kuhifadhi mazao wakisubiri bei ipande ana badala yake amewashauri kuuza kwa bei yoyote wanayoona...
Ndugu zangu poleni kwa majukumu
Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Wiki kadhaa zilizopita nilifanikiwa kuwa katika mkoa wa Manyara wilaya ya Babati mjini. Baada ya kusikia matangazo mengi...
Salaam,
Wakuu tujuzane kuhusu kuzitambu hizi pesa bandia.
Jana kuna raia kanipa, akihitaji bidhaa ya Tsh 500,
Haraka nilimuonya aache huo ujanja,
Alishangaa, nikamwambia fedha hyo si halali...
Wakuu habali za huko tanzagiza! Poleni Sana na majukumu ya kuisoma Namba, tangu nilipotia miguu hapa bondeni namshukuru Sana Mungu napambana si mchezo kuhakikisha naludi Bongo kifua mbele, maisha...
Nipo hapa NIDA Gongo la mboto makao makuu yao, cha ajabu nimefika saa nne nimekuta watu kibao wanaambiwa waje kesho sababu hakuna umeme. Wanavyosema Jumanne na Jumatano huwa hawana umeme kwa hiyo...
Wakuu
Habari za usiku nimekaa na kuwaza sana juu ya hawa Masheikh wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kwamba uchunguzi wa kesi yao bado haujaisha
Je wachunguzi wa mambo
Kuna dalili yoyote ya hawa...
Nianze kwa kuwasalimu wana jamvi! Natumah mu wazima wa Afya!
Nchini Tanzania Mhimili wa Mahakama umekuwa ni mhimili ambao kila anae fikishwa mahakamani huwa anakuwa na amani na iman kuwa HAKI...
Nomba mamlaka zinazohusika zibadilishe majina haya yasiyipendeza kwa nchi nzima.Kwenye mitaa,vijiji,vitongoji,kata,tarafa n.k kwa sababu yana ukakasi hayapendezi na mengine yasikitisha ,tunaweza...
Humu jukwaani kuna wajuvi wengi sana Niko na jamaa yangu kaokota hiki kifaa hapa alafu kinahema kwa mbali sijui madini gani haya mwenye ambaye anajua atuambie basi,
nimemiss sana kuyasikiliza japo yalikuwa yanatutia uvivu lakin now nayatafuta sn, sijajua kama nikienda Radio TZ kama wanaweza kunipatia, au kuna mtu yyt anayejua yanapatikana wapi now, bila...
Millard Ayo wewe ni kijana mbunifu na mwenye kuheshimika na jamii lakini kuwa makini kuna magroup ya whasap ya video za ngono na picha za ngono yanatumia brand yako ya millard ayo sasa je ni kweli...
Well,... Kenya wanatupiga gap (Kwa maoni yangu), wana-establish Konza City na wana initiatives mbalimbali za kuhakikisha wanaendana na kasi ya ukuaji wa teknolojia. Rwanda ndo usiseme, wako...
Mpaka sasa hakuna mfuko wowote uliowalipa wastaafu mafao yao ya mwezi
Sio ppf wala nssf
Kunatatizo gani wakuuu
Maana tarifa zisizo rasmi kutoka ssra zinadai kua watalipwa January 2019...
Siasa
Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa, mji au hata dunia nzima (siasa ya kimatatifa).
Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka.
Katika...
Mkazi wa morogoro Abubakari Mbaya (22) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani pwani kwa tuhuma za kukutwa amevaa sare z jeshi la wananchi Tanzania JWTZ wakati yeye akiwa si askari wa jeshi ilo...
Uteuzi Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Sophia Kongela kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
Wakati huo huo...
JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wamefanikiwa kukamata kiwanda cha kutengeneza Pombe kali ambacho...
Vijana wengi miaka 18-35 wa kitanzania mijini na vijijini karibu 95% wanalalamika sana kwenye maisha yao na kuchukia serikali na viongozi wa juu hata wale wasomi paka ma graduates, hawana way out...
ni kama wiki tu limepita rafiki yangu kaka angu mmoja kwa jina namhifadhi alipopatwa na mkasa huu.
siku ambayo kulikuwa kuna mvua mvua akiwa kapungia teksi njiani akiwa ana mpango wa kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.