Ni kitengo cha wababaishaji ndivyo unavyoweza kuiita hifadhi ya jamii nchini.
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa.
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako.
Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!?
A stinking usanii! Aliyempendeza upumbavu huu kichwani kwake hakuna ubongo bali mtori.
Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina lousy Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani?
Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeacha kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?
Wabunge wana roho mbaya sana wao wakimaliza kipindi chao wanakomba mafao fasta!
Wafanyazi wenye sumuni wanataka kuwapangia. Huu ni ufirauni daraja la kwanza. Cursed lawmakers who passed such a trash.
Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo.
Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?
This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.
Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi.
Irene wa SSRA, Eliud wa PSSSF na Erio wa NSSF ndugu yake Mkapa, acheni kutuibia mchana tena kininja namna hii.
Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
Abarikiwe sana PSSSF mtoto wa PPF na baba asiyejulikana! Mtoto huyu atabatizwa kwa moto!
Na ikifika wakati wa kutahiriwa basi tohara itafanywa kwa shoka au msumeno!!