Dhamira ya JPM ni nzuri kuboresha Chatto, Justification uwanja 3.5 km x 2 ambayo hata dreamliner zawezaweza pishana.
1. Utalii kanda ya ziwa na magharibi tayari mipango kuondosha wafugaji...
leo mida ya saa nane nimeshtuka baada ya kufungua kock ya maji muwasa na kuona yanatoka maji machafu . sjiu maji taka na maji saf yanaingiliana? Na kama ndo hvyo hal ya afya ya watumiaji itakuwa...
Habari za asubuhi wapendwa.
Kama kichwa kinavyosomeka mimi ninaomba majibu.
Ninahitaji majibu yenu ili yatoe mwelekeo wa mjadala huu pengine uende 'neksiti levo'.
Nauliza tena wazazi,mnajisikiaje...
Wiki iliyopita niulimizwa sanaa kitendo cha Orofessa mmoja ambae mimi nilitokea kumuelewa sanaaa na ni MWALIMU mmoja mzuri sanaaa wa masuala ya UShirika nchini.
Huyu nae aliteuliwa kutoka chuo...
Mzuqa
Ni njooz za ushindi njozi za mafanikio, maneno huumba. Ni muendelezo wa njooz za kuwa millionare intem of $$££€.
Nikizikamata lazima ni vute mjengo 4-5 bedroom villa ama aparrtment Dubei...
Kwa waliowahi kupata tatizo la kupitiwa na upepo mchafu wa kidunia kidogo bahati mbaya(mapepo/majini). Inatokea inakugusa halafu unakuta upande mmoja wa uso unavimba na mdomo unaanza enda upande...
Habari ya mchana wana JF
mimi nimtumiaji mzuri wa maji masafi toka mda sana
lakini kuna shida moja nimeiona sasa ni kama zaidi ya mwezi mmoja na inahatarisha afya zetu kwa matumizi ya binadamu...
Wadau mimi ni msikilizaji wa radio, na kiukweli napenda kusikiliza BBC au/na DW kwa sababu ya uchambuzi wa habar zao. Kwa bahati mbaya natumia simu ya TECNO ambayo haiwezi kushika mawimbi ya Short...
Jina la Makala: The brilliant Definition of a Bank
Mwandishi: _Anil Gupta, CEO Kunashi India Limited_
Mchambuzi: Frank-Mromba Prosper 'don_prospa'
MAANA ADHIMU YA BANK
Mwandishi anaanza kwa...
Salaam kwenu ndugu!!
Naomba tupeane maarifa kuhusu mazingira ya kibiashara pamoja na ajira zinazopatikana kwa wingi nchini Comoro.
1: Naona wacomoro wengi sana wanakuja Dar es salaam kufata...
amekuwa traumatized. anaumia kuona wale watu aliokuwa amewaamini kama marafiki zake ...wale watu aliokuwa akidhani watasaidiana naye kujenga nchi... nlimwona akiwa anaombewa na watumishi wa dini...
Jamani nilikuwa sijawahi kubaguliwa ,ila kwa ubaguzi tunaofanyiwa na maofisa wetu kazini, lazima ujiskie vibaya.Kama inavyofahamika
Wengi tupo kazini kutafuta pesa au riziki ili tuendeshe maisha...
PPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
Ndugu zangu Leo nimeamua nianzishe topic hum jf, hili jukwa limekua msaada mkubwa kwangu, nimejifunza mengi mno
Leo ningependa tuweze ku -Share Nyuzi unazo penda kukutana nazo, ambazo ukisoma...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) bila kujali tofauti za vyama vya kisiasa imeisi a utendaji wa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) kutokana na kujipanga kimkakati katika...
Leo tah: 28/10/2018 imetimu miezi mitatu toka Wakuu wa Mkoa na Wilaya wateguliwe nyazifa hizo.
Ndugu zetu hawa yamewakuta wale wa mwaka 2016,hawajalipwa hela za nauli ya kwao na...
Katika Taarifa ya habari ya ITV saa 1:30 asubuhi, kumetaarifiwa kuwepo kwa hujuma katika Daraja la Magufuli lililopo Mto Kilombero, ambapo zaidi ya nati 30 za Daraja hilo zimeng'olewa.
Daraja hilo...
Hakuna Kitu kibaya na kinachotesa kama unakuta unafungulia na kutizama ' Channels ' ambazo umeshasikia kuwa muda wowote zitaondolewa ( zitafyekelewa mbali ) halafu kila mara bado unaziona tu...
Habari za leo wana jukwaa wenzangu,
Mara ya kwanza kusikia kauli ya Prof. Smith kuwa watu weusi Bongo zetu azipo sawa km wao watu weupe niliumia sna nilimlani sna lkn baada miaka 7 ss ya utafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.