Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu.! Naomba tujikite na tuchambue na kisha tutoe maoni yetu binafsi ili mwenye masikio asikie. Hapo barazani au sebuleni mwa Kaya yetu, kuna kijana machachari sana kwa kuja na kila jipya...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nimesoma mahali mashtaka yanayomkabili mdogo wake na Rostam Azizi, mojawapo ni kukutwa na meno 6 ya ndovu yenye thamani ya shilingi milioni 103. Huu ni wastani wa shilingi milioni 17 kwa pembe 1...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Leo katika kumbukumbu zangu za utoto mwezi kama huu mwaka 1995 nikiwa mkoani njombe wakati huo nilikuwa na umri wa mia 14yrs. Tukiwa machungaji mimi na jamaa zangu tulijilipua kupeleka ng'ombe...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika kile kilichoelezwa kuwa ni udhibiti wa mfumko wa madai ya watumishi wa Serikali, imeelezwa kuwa suala la uhamisho litafanywa na Mkurugenzi mtendaji wa halmshauri. Hili linatokana na kile...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Alpha (IMDb 7) Ni muvi iliyotoka rasmi mwezi August mwaka huu, ni muvi iliyo katika category ya historical adventure, ni muvi yenye idea ndogo sana wala haihitaji uwe graduate ili kupata idea ile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba ushauri juu ya kampuni nzuri ya kujiunga na bima ya afya kwa mtu binafsi. Uwezo wangu wa kulipia ni 1,000,000 kwa mwaka. Iwe ya Baba, Mama na watoto watatu. Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UKATILI WA POLISI DHIDI YA RAIA NINI KIFANYIKE KUTOKOMEZA? FIKRA ZANGU Ukatili wa jeshi la polisi dhidi ya raia Mwanaharakati mmoja nchini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unakutana na dokta anakunywa pombe Kali wakati yeye ndio mwenye jukumu la kukushauri ubaya wa kunywa pombe kupita kiasi Daktari mwingine Ana mkitambi huo mkubwa.hamuoni madaktari wenzenu huko...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Basi la kampuni ya DZD Royal Classic linalofanya safari zake kati ya Moshi kwenda Mwanza limeligonga la Kampuni ya Kimotco ambalo linafanya safari zake kati ya Moshi kwenda Iringa leo asubuhi...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), inapenda kuufahamisha Umma kuwa, taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba Mtanzania yeyote anayetumia whatsapp atatakiwa kulipia shilingi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna Mtu aliwahi kuniambia ya kwamba nichezee nchi zote ila siyo Tanzania kwani ndiyo Taifa pekee ambalo huwa linafanya mambo yake ' Kiutaalam ' na ' Kiufundi ' kabisa ila ili Kuwaelewa basi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna picha imeleta shida sana kwa kusambazwa mtandaoni .na mtu anakutumia alafu anakwambia zoom. Ukiangalia unaweza kusema kuna kitu kilikuwa kinaendelea. Picha namba Moja ukiangalia uwezi jua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hili nadhani litakuwa ni fundisho la kutosha kwa watangazaji wa Kitanzania kuwa unapotaka mafanikio ni lazima uhamie katika media zingine za kimataifa. Siyo mfano mtu anatoka redio Ulanga na...
13 Reactions
101 Replies
32K Views
Ndugu mpendwa matumizi mabaya ya simu , kutumia simu kwa kupitiliza ni swala ambalo inatakiwa ulijue . Unaweza ukapenda sana kile simu yako inachokifanya kwako , lakini pasipo kujua ukapitiliza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika Habari ya Saa ya ITV, iliyorushwa saa 6 mchana, imemnukuu Mkuu wa Utendaji Kivita na Mafunzo wa JWTZ, Meja Jenerali Alfred Kapinga akitoa ratiba ya Mazoezi ya Pamoja ya Kijeshi ya Nchi za...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Sadaka ni ile hali ya kujitolea kitu chako cha thamani kubwa, ikiwemo uhai, kwa ajili ya upendo au imani fulani. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu watu wamekuwa wakitoa sadaka kwa miungu wao. Mungu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau; Uzi huu ni maalum kwa ajili ya wale wasaka ajira kuwasaidi kujua maswali tata ambayo unaweza kutana nayo chumba cha interview: Tupia swali lolote halafu wanaojua majibu sahihi...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
PAUL MAKONDA: "Nimepokea msg zaidi 5763 na majina ya Mashoga zaidi ya 100, hii inaonyesha Wana Dar es salaam hawataki mashoga, naendelea kupokea majina ya Mashoga" Utajuaje kama huyu mwanaume ni...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Muheshimiwa waziri jana nimemsikia akijigamba kwenye tv kwamba hakuna shida ya umeme nchini, mitambo yote inafanya kazi vizuri na mabwawa yote yana maji ya kutosha!! Je hajui kama dar es salaam...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtanzania Kema Salum amehukumiwa kifungo kisichopungua miaka 23 jela nchini Uingereza baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mke wake kwa kumchoma na kisu. ---- Kema Salum, 39, admitted killing...
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Back
Top Bottom