Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya kufungiwa wimbo unaona kabisa madogo wa wcb walivyovimba na kukataa kuutoa wimbo you tube Cha kushangaza kuna watetezi wao kabisa Nani asiyejua siku hizi Diamond amekuwa agent wa mambo...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Kinachoua mara nyingi ambaye ni muathirika wa vvu sio ugonjwa wenyewe...Bali ni ile hali ya kujua "nina ukimwi"...! Huenda usingejua usingefedheheka hivyo... Huwa najiuliza maswali... Hivi afya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila...
38 Reactions
256 Replies
29K Views
MHUBIRI ANASEMA FRM BIBLE KUNA WAKATI WA HUZUN NA FURAHA WAKULIMA WAKOROSHO WALIIBIWA SANA WALITESEKA SANA ZAMUYAO KUSIKIA FURAHA YA KAZI ZAO MUNGU AWAWEZSSHE GOV KUNUNUA HIZO KOROSHO....KAMA...
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Kwa mara nyingine tena nawajia tena na mada ndogo ndogo. Nimesikia mara kwa mara siku za hivi karibuni viongozi kadhaa wakiwaita foreigners kama 'wazungu'. Hii lugha sikumbuki kuisikia miaka ya...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Verse Naomba dua, pendo liendelee Lisije likaungua, kwa maneno lipotee Nitaomba samahani, makosa unisamehe Siunajua Hali yangu temeze Hook Mamy ridhika na goroka Usije we ukanizuga Na penzi letu...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Atieno washes dishes, Atieno plucks the chicken, Atieno gets up early, Beds her sucks down in the kitchen, Atieno eight years old Atieno yo. Since she’s my sister’s child Atieno needs no pay...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bill Nas Hakuna zawadi nzuri kama upendo Hakuna ahadi nzuri kama vitendo Kunijali hata nkiwa sina Ilihali hata bila jina Dyna Nyange Kila nikiwaza Unanifanya mi nikose nakosa raha Kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hakika ujana maji ya Moto kuliko neno MOTO lenyewe. Nimekumbuka Wayback kidogo, tabia yangu ya kila mgeni anaekuja kututembelea nyumbani (kwa wale wanaolala siku kadhaa), ile tukipokea tu Mizigo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa upelelezi dhidi ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara Akram Azizi ambaye ni mdogo wa mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi bado...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza. Nduguzanguni kwanza nawapongezeni kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kuhakikisha raia na mali zao wanakuwa na...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Kwanza naomba mtambue kuwa mie sio mwandishi mzuri sana ndio maana pamoja na ukongwe katika Jamvi hili lakini nina post hazizidi tano. Jana niliposti hii Biashara ya ukahaba...
11 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari wana JF, Wana Kigamboni jana tumepata msiba wa rafiki/ndugu yetu aliyeuawawa na madereva wa bodaboda wa mwasonga.Inasemekana Marehemu alikuwa anaelekea kwenye site yake huko...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Ninasema hivyo kwa sababu hata hayo mabaya yakifika hakuna mtu ambaye atakuwa salama, Labda nijaribu kutoa mfano, Kuna baadhi ya watu wanasema kwamba nchi yetu inaweza ikaja kukumbwa na balaa la...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama > Sauti > Mavazi > Umbo > Tabia > Urembo Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi...
53 Reactions
406 Replies
46K Views
Natanguliza salamu kwanza wajumbe Mimi sio mfuasi sana wa jpm na serikali iliyopo, lakini naona Mh. Rais hili kupunguza kazi za mazoea kwenye jiji la Dodoma ungewaunganisha hawa jamaa watengeneze...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Isaya 4 1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. FAIZAALLY...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Wilayani Geita mkoani humo linatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kijana aliyekuwa mlizi wa kampuni ya Jerusalemu Security Ltd. ambaye ni mkazi wa mtaa wa Mwatulole kata ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?
2 Reactions
103 Replies
19K Views
Back
Top Bottom